CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by shykwanza, Mar 16, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.

  Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.
   
 2. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nduguyangu Ukweli ujitenga na uongo. Tutapata jibu siku Wameru watakapo piga kura. tunasubiri.
   
 3. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Huyu POLONIUM katoka wapi tena
   
 4. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Message send but not delivered.
  Push it tolk!!!
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Unadhani tutakuonea huruma! hamna jinsi ccm mtaparamiwa tu!
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe huna hata maana Tlp nacho ni chama jamani , embu jaribuni kuwa serious
   
 7. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Shykwanza
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Miaka 50 madarakani, 36% ya watanzania ni maskini wa kutupwa hata mlo mmoja kwa siku ni shida, 40% ya bajeti inatoka kwa wafadhili, watu wanalala kwenye mbavu za mbwa, nchi inabakia mashimo, wakubwa wananunuliwa suti, mama wajawazito wanajifungulia sakafuni, 80 ya wanafunzi wa kidato cha IV wamefeli, ndege za kivita zinaingia nchini na kuchukua wanyama hai lakini wakubwa wako kimya ..... lakini bado CCM wanaamini ndio wenye haki na uwezo wa kuongoza?

  Huko Arumeru nimewaona Ole Sendeka na Steven Wassira wakiwambia wananchi kuwa mgombea wa ccm atatatua tatizo la ajira kwa vijana! Jimboni kwa Ole Sendeka un-employment ni 100% mbona hajatatua? Wassira amepeleka ajira ngapi huko kwake?

  Kama taifa hatuwezi kutatua matatizo tuliyonayo kwa kukumbatia mfumo ule ule, mawazo yale yale na watu wale wale waliyoyasababisha. Na baada ya miaka 50 hakuna lisilojulikana kuhusu CCM! Na kwa kwa hiki chama (CCM) kufungua kinywa na kukashifu chama kingine ni kuwakosea adabu watanzania.
   
 9. M

  Mchome ray Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa anamatatizo anajaribu kutufanya sisi n watoto, mzee wa kiraracha mwenyewe kachoko yuko hoi! Eti unalinga nsha kifo na usingiz (TLP NA CHADEMA)ndugu tumia angalau common thnking bila y shule akil!vp?au umelewa unga wandere wa magamba?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  unajaribu uone utajiwaje
   
 11. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  shy (AIBU) kwanza ona sasa umeishia kutia aibu hadharani... asante kwa sredi yako isiyo na mvuto...
   
 12. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  this kind of spam....directly trashed;
   
 13. Download

  Download JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kweli kichaa sio lazima aokote makopo hata hu jf tunao wengi kama huyu jamaa,hivi wewe unajielewa au?,mimi nipo Arumeru nafuatilia Kampeni A to Z,Chadema kila sehemu ni Shangwe na CCM ni aibu mpaka wanalazimika kuahilisha baadhi ya mikutano,we unaongea nini wewe?
  Acha kupotosha umma,zungumza ukweli.Jamani eeh,ukweli ni kwamba CDM wanakubalika kupita maelezo...
  CCM wanazomewa kila wanapokatiza.Mnawapa kazi kweli madereva mlio waajiri maana wataathirika kisaikolojia kwa kuzomewa...
   
 14. Download

  Download JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  wanacho kifanya TLP ni kuogopa kushtakiwa kwa kutotukia hela za ruzuku za kampeni.Mrema anajua kamwe hatashinda,ww jamaa ni kichaa na ninawasiwasi ni mtoto ama jamaa ama ndugu na Gamba fulani linakupakupa vidili...
   
 15. s

  shykwanza Senior Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waambieni viongozi wenu wajibu tuhuma za ufisadi zinazowakabili na sio kujamba jamba hapa jukwani
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Shykwanza = akili ya maiti = ccm = chama cha majinga. Baada ya mwigulu 'kukutumia' naona unatimiza shart lake la mwisho!
   
 17. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mimi ni mkazi wa Arumeru mbona hilo halipo huku na watu wanaichukia ccm ile mbaya. Acha kuandika umagamba wako hapa na upeleke usho.ga wako huko.
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mrudisheni yule jamaa aliyemdedisha ticha wa nation
   
 19. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli chama cha ma.ga.mba,mafsadi, majinga, yakulala bungeni yanatia aibu.. You will never change the reality
   
 20. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa Chadema imepoteza mvuto Arumeru, lakini umekosea jambo moja.....watu wote wanajaa kwenye mikutano ya CUF na NCCR; sio CCM wala TLP, na kuna tetesi kuwa mgombea wa CDM anataka kuhamia CUF na wa CCM atahamia NCCR, hebu endelea kutujuza **** wewe
   
Loading...