Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Baba C, Mar 18, 2012.

 1. B

  Baba C Senior Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Upepo wa kisiasa unaelekea kukiendea kombo chama cha CCM kwani kwa taarifa nilizopata kwa mmoja wa washiriki kwamba mkutano uliofanyika jana kata ya Kikatiti ulikosa watu sana sana wanafunzi wa shule tu. Hali hiyo inasemekana kufanana na ilivyotokea kata ya Songoro alikotokea Nassari kwani walikosa watu kiasi cha kuahirisha mkutano.Hali hii ilisabisha makada wa CCM kukasirika na kuporomosha matusi.

  Kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Thats true,jimbo limekwenda cdm.wanategemea kura za washili wawili
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ina maana hata mamluki waliwagomea kupandishwa malori kwenda kwenye mkutano? Naskia wazee wamegoma kupanda malori wanataka vijana kama Mwigulu wapande lori wao wapande v8, si wanajua hizi starehe za wiki tatu tu baada ya hapo hawatawaona magamba kwa miaka mi3
   
 4. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh hii kali asee
   
 5. G

  Giroy Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pipozz...
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  jamani acheni uongo muogopeni mungu
   
 7. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nani kakwambia hamwogopi Mungu? au umetumwa?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ungeweka picha
   
 9. B

  BigMan JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hapana mimi nilikuwepo kikatiti watu walikuwa wengi ngoja nikutumie picha
   
 10. B

  BigMan JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  View attachment sioi px2.bmp
  picha ni hiyo
   
 11. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tutajua ukweli tarehe 1 April 2012!
   
 12. S

  Sanare S Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndivyo mnavyojidanganya kuwa ccm mambo yanawaendea kombo, hivi nyie mpo dunia ya wapi? dunia iliyo mbali na uhalisia wa mambo? subirini kipigo mtakachokipata sijui kama mtaongea nini tena!!! nilikuwa nabisha lakini kumbe ni kweli CHADOMO
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  I can't trust this source, unless I see the pictures
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nothing is important like the last minutes.We shall see the end.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
 16. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeona ccm kikatiti wako na wanafunzi Wa shule sijui ni vipi?
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  huyu mungu wako simuogopi ila huyu Mungu wangu i do adore him
   
 18. B

  Baba C Senior Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukweli unauma siyo?Kwani Mungu ndo kawatuma mfanye ufisadi na kukumbatia mafisadi?
   
 19. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CCM,bye bye tena
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...