Maono yangu kutokana na thread za kushambulia viongozi wakuu wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maono yangu kutokana na thread za kushambulia viongozi wakuu wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Mar 18, 2012.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Toka mchakato wa kampeni kuanza arumeru mashariki kumetokea na kushambulia. Sana kwa CDM kwanza ilianza
  1.Mchakato wa arumeru john mrema katumia mil 16 nakumbuka uzi huu uliletwa na tuntatemeke sijui kama sijakosoa akawa anahoji kwann chama kitumie pesa nyingi hivyo majibu yalitolewa na wapo baadh ya viongozi wa cdm walivua nguo humo ndani
  2.Ya pili ikaja kwann Mnyika anajilimbikiza vyeo vikaonyeshwa vyeo kama kumi
  Zitto kabwe akaja hapa akaonyesha vyeo vingi vya mnyika ni vya bla malipo
  Swali hivi ni kweli CDM wambakishishe Mnyika cheo kimoja tu may be cha ubunge hivyo vingine watangaze ajira je nani atawalipa????hao vijana
  Kitila mkumbo nae akaweka maneno yake hapo
  3.Ni kuhusu ufisadi wa CDM
  Kwanza Mboye kachukua pesa za SABODO kanunua nyumba DUBAI pesa yenyewe tunaambia ni milioni 300 kweli kabisa hivi dar hapa kariakoo nyumba tu ni had bilion 1
  Mboye huyo huyo kachukua pesa za chama kukarabati billicans Mungu wangu billicans ni moja ya club kwonge hapa nchini
  Tukiongolea hesabu ya siku mbili ijumaa na jumamosi siku clubu inajaza haikosi watu 3000 ndani kwa kiingilio cha 10000 ni sawa 30 milioni mara mbili 60 milion hujaweka viwanyaji
  Sawa billicans inaanza toka jumatano hadi jumapili kweli kabisa tuntamenke

  Ikaja ishu ya Dr slaa na mchumba wake josephine kutumia vibaya ela za chama kwenda Arusha kulipia hoteli ya 280000 kwa kesi yangu kwa kiongozi kama Slaa mwenye maadui wing anahitaji ulinzi na dr slaa alikuja akasema ndo walilaa kwenye hyo hoteli ya thaman hyo
  Swali kwa tuntamenke je ww ulitaka akalale kwenye hoteli ya bei gani ya laki moja ambaye mtu kama sina hata ajira naweza kwenda
  Je hiyo hoteli kuna ulinzi wa kutosha????

  Mama josephine kajilipa milioni 10 baada kuaandaa program na kusimamia mfumo ya fedha well let me tell u mimi nasomea computer science eng hiyo milioni 10 ni ndogo sana hata kama ni kweli alijilipa na sio kujitolea
  Kuanda system ya mfumo wa kusimamia fedha unatakiwa uwe na hivi vitu
  1.Database iwe Oracle/Mysql zote zinauzwa
  Oracle ni bei sana
  Mysql unaweza kupata kwa dola 5000
  2.Uwe na software nyingne za kusupport database yako

  My take
  1.Inaelekea kuna Conflict of interest kati ya DR slaa na Tuntamenke
  2.Inaelekea kuana mtu alifukuza kazi kitengo cha pesa kaamua jinsi ya kutokea

  Maoni yangu kwa uongozi wa CDM na dr slaa
  1.Muwe tayari kukosolewa na yoyote na muwe tayar kuyatolea ufafanuzi
  2.Hayo malamiko kwa mama josephine sijui kuwakaripia madereva hadi wengne wanataka kuacha kazi iwe challange kwa mama kama ni kweli abadilike hakuna aliye sawa
  3.Muwe makini kuna mapandikizi wengi kutoka CCM
  4.Mjue mtu katokea wapi historia yake before hamjamuamini kumpa uongozi

  Maoni kuhusu kuelekea 2015
  1.Vijana weng sana watagombea kupitia CDM muwe makini anzeni kuandaa timu now na kujua historia za watu wenu before hamjawasimamisha kugombea
  2.Vijana wengi wana tamaa tuwe nao makini tusije kushangaa haya tunayo yapigia kelele mkapa fisadi hawa vijana wetu wakaja kuwa mafisadi kuliko mkapa
  3.Ni wakati wa kujipanga kufika kijijini zaidi sijasikia mkienda haya maeneo nataka mfike
  1.Mtwara
  2.Lindi
  3.Tanga japo kina zitoo walifika kwenye mkonge mrudi tena
  4.Dodoma + morogoro
  Rip regia na imani huyu angechukua kilombero 2015 sasa muandaeni mwingne awe anakwenda jimboni kuendeleza mema na regia .
  5.Wakina mama wa CDM mmekuwa kama mnafuata mishahara tu bungeni nataka kuwasikia zaidi kwenye vikundi za kina mama
  Halima mdee hebu waamshe kina mam wa dar jaman


  Hitimisho:nawaza 2015 nikifika salama nitasimama ROMBO mungu aniongoze
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Well said Majanikv!
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Maoni kuhusu kuelekea 2015
  1.Vijana weng sana watagombea kupitia CDM muwe makini anzeni kuandaa timu now na kujua historia za watu wenu before hamjawasimamisha kugombea
  2.Vijana wengi wana tamaa tuwe nao makini tusije kushangaa haya tunayo yapigia kelele mkapa fisadi hawa vijana wetu wakaja kuwa mafisadi kuliko mkapa
  3.Ni wakati wa kujipanga kufika kijijini zaidi sijasikia mkienda haya maeneo nataka mfike
  1.Mtwara

  2.Lindi
  3.Tanga japo kina zitoo walifika kwenye mkonge mrudi tena
  4.Dodoma + morogoro
  Rip regia na imani huyu angechukua kilombero 2015 sasa muandaeni mwingne awe anakwenda jimboni kuendeleza mema na regia .
  5.Wakina mama wa CDM mmekuwa kama mnafuata mishahara tu bungeni nataka kuwasikia zaidi kwenye vikundi za kina mama
  Halima mdee hebu waamshe kina mam wa dar jaman


  Hitimisho:nawaza 2015 nikifika salama nitasimama ROMBO mungu aniongoze[/QUOTE]


  Focus iwe serikali za mitaa 2014 kwanza
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwambie Slaa atuambie kanuni aliyotumia kujilipa per diem yeye, mchumba wake na yaya! Pia kwa nini chama kilipe mishahara ya walinzi wa kanisa la Josephine? Kwa nini Ajikopesha millions kujenga nyumba yake? Kama hamna majibu ya maana huu ni UFISADI!
   
 5. F

  FredKavishe Verified User

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa mm ni slaa mkuu vipi ww hahaha nadhan jana alitoa majibu yake.
  Nitamwambiaje mm unashinda hata kumtumia msg
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  well narated. maadui wa dr slaa na cdm tumeongezeka,ila tuntemeke ni mmoja wa watu waliotemwa ktk nafasi nyeti sasa analeta chokochoko akidhani watu wamelala,data za kupika na upumbavu kibao, wenye kutaka kumjua uyu binadamu wafungue thread zake zote ndo wataona chuki binafsi. Tunamshangaa uyu mutu!
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  I salute you sir...
   
 8. Al_morinaga

  Al_morinaga Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii mimtu bana...wangekua ni viongozi wa ccm ndio wanazungumziwa
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja sana mkuu
   
 10. F

  FredKavishe Verified User

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja mkuu laiti kama kashajulika tusonge mbele
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  only a fool cant agree with you! Kudos
   
 12. C

  Chintu JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 3,403
  Likes Received: 857
  Trophy Points: 280
  Mkuu upeo wako wa kufikiri upo juu mno. usibishane na watu waliopewa kazi MAALUM. Kumbuka Dr Slaa hajaanza kutafutiwa scandal leo. Kinachochekesha hawa jamaa wana uchungu kweli na 280000 za CDM kuzidi zile Bilioni za Chenge, biliono155 za meremeta, bilioni 40 za kagoda, bilioni 133 za EPA, Deepgreen nk. ujue waliona kazi yao waliyopewa haifanikiwi, wakawaza watoke vipi? wakaiona 280000.
  Hata hivyo ni muhimu sana kwa CDM kukeep records za matumizi ya fedha na justifications vizuri maana more and heavier cooked attacks will come before 2015.
   
 13. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hoja nzuri na ya kujenga. Ni kweli chama kitengeneze utaratibu mzuri kuelekea 2015 vijana wengi watafurika kupata fursa za kugombea kupitia CDM. Kama tunavyojua vijana wanakuwa na hamasa sana bila taratibu zinazoeleweka tunaweza shuhudia ugomvi mkubwa sana.
   
 14. F

  FredKavishe Verified User

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja mkuu
   
 15. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu bt hilo la kusimama rombo tutakuwepo wengi mæn!!
   
 16. F

  FredKavishe Verified User

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahaha huko usihofu kuhusu rombo kama unakubalika na una sera nzur yoyote atakaye chaguli its ok
   
 17. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ni kwli mkuu.....mpaka nau we ni m2 wa 6 kutangaza nia....thats vry nyc!!
   
 18. F

  FredKavishe Verified User

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kazi itakuwepo basi
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Fantastic analysis. Mimi nitagombea jimbo la Iramba Mashariki.
   
 20. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  pande za tarakea wa2 washaanza kukinukisha mapeema.....kijijin kwa mbunge wa sasa napo wa2 wapo full xo ni muda wa chdma kuwa politically matured na kumchagua m2 atakayekua choice ya wana rombo so as to avoid mambo ya kina salakana et al.
   
Loading...