Zitto:Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa Diwani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto:Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa Diwani!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kaseko, Mar 18, 2012.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Zitto aliyasema hayo kipindi akizindua kampeni za mgombea udiwani katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba kwenye viwanja vya Magomeni-Kirumba saa 11:15 jioni ya tarehe 11.03.2012.
  Aliwaambia wananchi na watanzania kuwa mtu ataepigia kura CCM.
  (1) Atakuwa amekubaliana na
  mfumuko wa bei.
  (2) Atakuwa amekubaliana na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM.
  (3) Atakuwa amekubaliana na ugumu wa maisha.
  (4) Atakuwa amekubaliana Uongozi mbovu wa serikali ya CCM na Gamba lao Wasilivue.
  (5) atakuwa amekubaliana na sera pamoja na mipango mibovu ya CCM.
  (6) atakuwa amekubaliana na maovu yote yanayofanywa na watawala na ukandamizwaji wa demokrasia unaofanywa na viongozi wa jeshi la polisi.
  (7) atakuwa amekubaliana na upandanji wa bei za bidhaa kama vile sukari, mafuta,umeme, mabati,siment na nk.
  Akawaambia kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa lakini watanzania wanabaki kuwa maskini wa kutupa, akaenda mbali na kusema maendeleo hayawezi kuletwa na chama kile kile na viongozi walewale hivyo ni mda wa kufanya mabadiliko kupitia masanduku ya kula, kuikataa CCM na ulagai wake.
  Alisisitiza kuwa CCM wameishiwa sera na Chama kilicho na sera madhubuti na makini ni Kuipa kura nyingi CHADEMA. katika chaguzi zote sasa si mda kucheza niwakufanya kazi ccm wameshindwa kwani wana miaka 50 lakini maendeleo hayaendani umri huo.
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  safi sana Kijana Zito sasa anakuja juu Magamba mnalo andikeni mumekwisha
   
 3. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kazi nzuri mpaka kieleweke, twanga kote kote arumeru,mwanza,dar vijibwen dom nk
   
 4. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  kwa kauli hii ya mh. Zitto kumbe hata wao CDM wanajua kwamba hawawezi kupata jimbo la Arumeru! na mwisho wa siku hata hiyo kata ya kirumba tunairudisha kundini.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Utawajua walevi wa gongo za week end kwa matapishi yao yanavyonuka.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kaseko mbona hiyo kauli "Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa udiwani" sijaiona mahali Zitto aliposema hivyo ?.

   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Badilisha heading.Mizizi ya chama imara huanzia chini/grass root
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Masuala mengine sawa...ila bora kupoteza ubunge Arumeru umedanganya mkuu...nilikuwepo mwanzo mwisho pale Magomeni.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kasekoooo.... how low can you go??
   
 10. K

  Kaseko Senior Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sidhan kama kauli hiyo aliisema akiwa na nia mbaya, mtu mwenye akili fupi ataifsri vizuri.
  the purpose of this context, i need to observe the critical analytic thinker's at jf.
  lakin ukiichukulia poa inakuwa poa.
   
 11. K

  Kaseko Senior Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  i did not undertand you
   
 12. K

  Kaseko Senior Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hujaielewa context hiyo acha ushabiki
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,961
  Trophy Points: 280
  jamani msimuwekee kauli za kichochezi Zitto hajasema hilo la bora kukosa ubunge Arumeru hapa naona ni zile kampeni chafu za Magamba katika kumchonganisha na CHADEMA maana kauli kama hizo hu-undermine efforts za wana CHADEMA wenzie Arumeru kitu ambacho kinaweza tumika na CCM kwa manufaa yao! Kwa hiyo watu muwe na ustaarabu katika kampeni zenu za majitaka!
   
 14. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  amekubali kikubwa.......! CCM mziki mwingine
   
 15. B

  Bwanamdogo Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha mziki wowote labda km unamaanisha mziki wa rushwa na ufisadi
   
 16. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hivi ule uswahiba wa Zitto na Rostam bado una exist?
   
 17. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kaseko ni gamba
   
 18. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  MBONA NA WEWE ULIENDA IKULU KUJADILIANA KATIBA MPYA NA MPINZANI WAKO?mbona hujataja unemployment ilivyo athili maisha ya mtanzania? Ina maana hujui kama unemployment ni mbaya kuliko mfumuko wa nei? toa ,anati mfukoni mwako, dogo!
   
 19. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  maneno kama haya ndiyo aliyotumia hitler kuingia madarakani mwaka 1932!yako katika kitabu "The third reign" page 173. Kabwe umeyanyaka kijamu ile mbaya!
   
 20. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Naona injini imeshaanza kuchemsha.
   
Loading...