Wazee wa Arumeru wakataa kupanda malori wanataka V8

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,998
6,659
Tofauti na ilivyokuwa Igunga chama cha magamba kilikuwa kinabeba watu kutoka eneo moja kwenda lingine kutumia malori ili kuonyesha kuwa kinakubalika kutokana na wingi wa watu Lakini Arumeru wazee wanakataa kuyapanda hayo malori wanataka wapande V8 na wakina Mwingulu ,Nape na wengine wa magamba ndio wapande malori Arumeru wazee wajanja
 
thats si true.nakumbuka hata siku ya uzinduzi wa kampeni za ccm,kuna wazee walitelekezwa leganga,nilio waona mimi ni wazee walio achwa na kosta zilizotoka monduli na kulazimika kulala stend,next day wakachangiwa hela na wamasai waliokuwa jirani na kurudishwa kwao monduli...
 
Back
Top Bottom