Anayeongoza kusinzia mjengoni!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Habari zenyu jf? Ndani ya bunge letu kwa sasa ni vigumu sana ndani ya vikao kuona wabunge wakisinzia kama enzi zile nadhani ni kutokana na hoja nzito zinazotolewa! Lakini bado wabunge wazembe kimawazo bado wameendelea kuchapa usingizi bila aibu wakiulizwa wanadai "nilikuwa natafakari jambo kwa umakini" ebu naomba list ya waliosinzia zaidi toka mwaka 2005!
 
1) Wassira.
 
Ryatonga Mrema hadi udenda unamtoka puu!puu!na mwingine ni yule mbunge wa bariadi mapesa.
 
Wengi wao ni wale wakati wao wa kua Bungeni usha expire na wahitaji napping time mchana.
 
Wasira ni noma kwa kuchapa usingizi bungeni, halafu akiambiwa anatoka povu na kudai anagombanishwa na wapiga kura wake. Kwani wana Bunda walimchagua akalale bungeni?
 
Sisi maadili hayaturuhusu kutaja majina ila mwenyewe utafahamu huyu ni nani tokana na hii picha:-

Wassira.jpg
 
Habari zenyu jf? Ndani ya bunge letu kwa sasa ni vigumu sana ndani ya vikao kuona wabunge wakisinzia kama enzi zile nadhani ni kutokana na hoja nzito zinazotolewa! Lakini bado wabunge wazembe kimawazo bado wameendelea kuchapa usingizi bila aibu wakiulizwa wanadai "nilikuwa natafakari jambo kwa umakini" ebu naomba list ya waliosinzia zaidi toka mwaka 2005!
  1. Stephen Wassira
  2. John Komba
 
Hili wasiraaaaaaaaaa sura kama sokwe,sijui wapiga kura wake walilipendea nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom