Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Leo dr SLAA amewasili Arumeru Mashariki Leo na atafanya mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea wa. Chadema,Mkutano utafanyika kijiji cha Nguruma kata ya Nkoaruwa.

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Leo dr SLAA anawasili arumeru m
ashariki Leo na atafanya mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea wa. Chadema,Mkutano utafanyika kijiji cha Nguruma kata ya Nkoaruwa.

Daaaah Dk.Slaa atakuwa amekumbuka kweli kwenda na ile picha inayomuonesha Chimpanzee Wassira akiwa katika usingizi mzito bungeni?akawaonyeshe wana-meru kazi ya wabunge wa CCM mjengoni!!!
 
Kuna tetesi za diwani wa Nkuarua kwa tiketi ya ccm Emmanue Wangaeli kuwa amejiuzulu isijekuwa leo ndio anatangaza rasmi.
 
Good news, ila picha ya Wassira amelala bungeni ni mtaji mkubwa sana kisiasa huko Arumeru kuonyesha tofauti kati ya wabunge wa ccm na CDM
 
Leo dr SLAA anawasili arumeru m
ashariki Leo na atafanya mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea wa. Chadema,Mkutano utafanyika kijiji cha Nguruma kata ya Nkoaruwa.


anasubiriwa kwa hamu akajibu tuhuma zilizotolewa na wassira
1. Je ni kweli Dr. Slaa alitafuna hela za ujio wa papaa?
2. Je ni kweli Dr. Slaa alifukuzwa upadri na kanisa katoliki au aliamua kuacha mwenyewe?
3. Je ni kweli hela za sabodo zimetafunwa kifisadi na Slaa na Mbowe?

We need critical answer here
 
We c kiongozi weka ratiba ili tujuue na kuwatangazia kwa mfano jananimekwenda pale tengeru hata watu wapale hawajuii kama kuna mkuutano hasa watu kama sisi na john mrema nimemwambia hili sana
 
Back
Top Bottom