Ukitaka kutofautisha Uelewa wa watu utafanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kutofautisha Uelewa wa watu utafanyaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jnuswe, Mar 18, 2012.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Najua wengi mtauliza ni uelewa katika jambo gani, mimi nimefanya utafiti, muulize mtu masuala yanayohusiana na maendeleo kwa ujumla mfano kukua kwa uchumi, siasa ,masuala ya katiba, mihimili mikuu 3 ya serikali na majukumu yake, ufisadi na athari zake katika taifa linaloendelea kama Tanzania n.k

  ukiona awezi kuelewa na kuchambua kwa kina mambo kama hayo, malizia kumuuliza tena suali ni chama gani cha siasa unachokipenda kwa hapa Tanzania jibu litakuwa ni CCM
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ina maana ccm, ndio wenye IQ ndogo?????///
   
 3. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu huo ndo ukweli, ebu jaribu tu kulifanyia kazi hilo , majibu utayapata
   
 4. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kaka halafu niwabishi kupindukia tena uwe makini unapoongea nao unaweza kula kibao
   
 5. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,163
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Jnuswe na Wana JF,

  Knowledge is a familiarity with someone or something, which can include facts, information, descriptions, or skills acquired through experience or education.

  My take: Kama mtu au mtanzania hataweza kuchambua au kuelewa suala unalomuuliza au kwa nini wanachagua CCM ana yake, sasa na wewe ungemuuliza kwa nini wanaona CCM ndio Chama wanachopenda ??? Kutakuwa na sababu mbalimbali, labda Uelewa mdogo/mkubwa wa mambo mbali mbali, upeo mdogo,mkubwa, elimu ya uraia, chama mbadala ya CCM etc
  Mimi sipo upande wowote najaribu ku-base kwenye hoja, mada yako
  Nawakilisha


   
Loading...