Arumeru mashariki kichukieni chama na mtu anayetoa rushwa kama ugonjwa wa ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru mashariki kichukieni chama na mtu anayetoa rushwa kama ugonjwa wa ukimwi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by TEMILUGODA, Mar 19, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wana Arumeru mashariki,jana bila shaka mlisikia hotuba iliyotulia ya Dr wa ukweli na bingwa wa hekima namna alivyo sisitiza juu ya athari za kumchagua kiongozi kwa njia ya rushwa,kwamba huyo hawezi kuwaletea maendeleo yoyote na madala yake atawakandamiza na kuwafumba midomo yenu kwa Rushwa.Kumbukeni kwamba vyombo vyote vya dola yaani polisi,TAKUKURU,nec na msajiri wa vyama kamwe havina Mungu na hata kama unandugu yako anafanya katika vyombo hivi ujue amelaaniwa yeye na uzao wake kwani yu mpinga Nuru dhidi ya Giza.WANA ARUMERU MASHARIKI,NINYI NI MASIKINI,KUPITIA MAMILIONI MLIYOTOA SADAKA KWA MGOMBEA YULE,MUNGU AMESIKIA KILIO CHENU NA AMESEMA UNGANENI ILI SIKU YA TAR.MOSI APRILI AJE KUHUKUMU KWANI YEYE NI HAKIMU WA MAHAKIMU.KUMBUKENI PIA CHAMA KINACHO TUMIA WAZEE WA TUNGULI TENA TOKA PEMBE ZA TZ HAKISTAHILI KUPENDWA KWANI KINATUINGIZA GIZANI KUTOKA KTK MWANGA.CHADEMA AA,CHADEMA TINGISHA,NASARI AA,NASARI MBUNGE ARUMERU Chaguo sahii la Mungu kwa kuwa anasauti ya WENGI.
   
Loading...