Binadamu hatukubali ukweli.

mahoza

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
1,248
577
Nimeona binadamu hatukubali ukweli nikitolea mfano wa Arumeu. Miaka yote CCM ilikuwa na mbunge Arumeru. Hakuwatimizia wananchi mahitaji Yao km ardhi nk. Sasa iweje Leo ataweza kuyatatua? Wananchi wa Arumeru fanyeni mabadiliko ya mbunge na mtapata mabadiliko ya maisha. Ardhi yenu itakuwa kwafaida yenu. Nashangaa magamba wanasema eti watamwambia JK statue matatizo yao. Zamani walikuwa wapi? Wanachi wamechoka kudanganywa. Kilala heri CDM.
 
Mahoza na Wana JF,
Sio kweli Binadamu hatukubali Ukweli, ni kuwa Binadamu hatutaki na kama wapo ni wachache kama sio wengi au wote wanaokubali KUKIRI Ukweli, unaweza kukubali moyoni na ukawa mgumu kuukiri kwa wazi na kwa maneno.
Pili na aliyenitangulia alivyosema Ukweli siku zote unauma, ukiambiwa ukweli wako siku zote utakuwa mbishi ila ndio ukweli wenyewe.
Nawakilisha

Back
Top Bottom