Hivi Lowassa anakwenda Arumeru Mashariki kukipigia kampeni chama au mkwewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Lowassa anakwenda Arumeru Mashariki kukipigia kampeni chama au mkwewe?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mpayukaji, Mar 19, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu aliyebwaga manyanga kutokana na kashfa ya Richmond Edward Lowassa atakwenda Arumeru mashariki kupiga kampeni. Je atakwenda kule kumpigia kampeni mkwewe au chama? Kama ni chama ni kwa sifa gani na tuhuma zote hizo? Je atatumia sifa ya kuwa mmeru anayejiita mmasai au vijisenti? Je atakipigia chama kampeni kwa lipi wakati kimeishapanga kumwengua?
   
 2. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
   
 3. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapa napita tu. Naogopa kupayuka!
   
Loading...