Cdm tumieni mbinu za kony 2o12 kuisambaratisha ccm 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cdm tumieni mbinu za kony 2o12 kuisambaratisha ccm 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Mar 21, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanabodi nashauri ili kuiondoa ccm 2015 inawezekana kutumia mbinu walizotumia invinsible children kumfanya kony kuwa farmous in negative way.kinachofanya ccm kuendelea kuwepo ni wananchi kutokujua mabaya yake ila pindi watakapo gundua watafanya kama arumeru.mijini kimeshaeleweka sasa mwendo uwe vijijini
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mmmmmm! ebu fafanua vizur mkuu ili 2weze kukupata frsh koz nahs kama una point ya maana xana.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwamba chadema wanatakiwa wawe famous siyo kuiondoa ccm madarakani.
  Kwamba Kony alitafuta sifa mpaka kawa famous na siyo kumwondoa Museveni.
  Frankly speaking, mkuu badilisha heading story zikae vizuri mazee
   
 4. c

  collezione JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nice idea. That's why nawashauri CHADEMA wafungue TV ambayo itarusha matangazo yao nchi nzima
   
 5. c

  collezione JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamaa hujamwelewa huyu mtu. Kaa chini usome tena
   
 6. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Idea aliyoleta hapa mchangiaji nilipata kuisema humu kwamba kunaumuhimu mkubwa wa CHADEMA na kila mwana CHADEMA kubeba dhamana ya kukitangaza Chama kwa kuibua kila UOVU unaofanywa na CCM, Kuanzisha TV ni wazo jema lakini tukumbuke kwamba UMMA MKUBWA WA WATANZANIA HAWANA Tv, sasa kwa kuanza hata RADIO Inatosha tena iitwe "SAUTI YA UMMA FM", Jamani watanzania ni wasikivu sema wanakosa mtoa mwanga juu ya kila baya wanalofanyiwa. CHADEMA inawajibu wa kuwa imara ktk kila ngazi na kila Eneo, Arusha, Tabora, Mtwara, Rukwa, Kigoma na kila mahali, sera zifike ktk maeneo yaliyopembeni kama KALIUA, ULYANKULU na hata UYOWA huko mkoani Tabora. Jukumu hili ni la kila Mwana CHADEMA kwa kuwa wengi wetu tumetokea huko vijijini basi tuwaonyeshe WANAVIJIJI WENZETU juu ya UKOMBOZI WA TAIFA na RASILIMALI zake kupitia chama makini CHADEMA ifikapo 2015. Mimi nimeshaanza muda kwetu Urambo na naahidi 2015, TABORA Utakuwa mkoa wa mfano kupeleka wabunge vijana toka CDM Mjengoni, Mwenyewe nipo tayari kusimama na FISADI yeyote toka CCM.
   
 7. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Washibiki wa CHADEMA kwenye ranks zenu kuna vichaa.
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mungi kama ni sifa CDM tayari wanazo husani kwa watu wa mijini ambao wana access na internet,magazeti na tv na kitu pekee ambacho kinawapa sifa chadema ni kuwaonyesha watu upande wa shillingi wa ccm ambao watu walikuwa hawajui sasa hii ikifanyika kwa watu wa vijini ambako ndiko kwenye mtaji mkubwa wa kura kwa ccm basi watakuwa wamefanikiwa.ili unipate fresh hii idea cheki clip ya kony 2012
   
 9. c

  collezione JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu radio are not as perfect as tv. Apart from that mda wa kusikiliza radio siku hizi haupo. Labda kwenye daladala. Watu wengi wakitulia majumbani huangalia TVz.

  We angalia saa mbili usiku. Watu hulazimika kuangali ITV au TBC kwa sababu hakuna TV nyingine mbadala. Ingawaje hao ITV na TBC wanachakachua habari kweli.

  CHADEMa wanatumia nguvu nyingi kwenye kampeni kwasababu watu wachache wanapata news kutoka kwao. Na wengine wanashabikia tu kwa mkumbo, lakini hwajawi kufika kwenye kampeni au activities zozote za CHADEM.

  Kama unakumbuka kampeni za 2010 dr SLaa alipata umaarufu mara dufu, baada ya ile coverage ya mdahalo wa ITV. Ingawaje kwenye ma-radio alikuwa anasikika mara kadhaa. Bali TV ndo ilimnyanyua sana.

  Kungekuwa na TV inayirusha atleast activities za CHaDEMA. Watu saa mbili usiku wasingekuwa wanaangalia ITV wala TBC
   
 10. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwanzania ni kukataa kanga na ugali. Pili Mbinu ya kuisambaratisha CCM ni maandamano kila jimbo Tanzania, na hotuba nzito.... Magamba wanaogopa pipo pawa
   
 11. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Shardcole ni hivi mpaka sasa cdm wamefanikiwa kupata supporters na fans wengi maeneo ya mjini simple becouse wameweza kuwaeleza ukweli wa mambo ambayo wamekuwa wakifichwa na serikali ya ccm,lakini hili bado halijafanyika vijijini ambako ndiko kwenye mtaji wa watu ambao wanaendelea kuwapigia kura ccm kwakuwa hawajui mabaya yake na hata kwa mfumo mbovu ambao hauna creativity na innovation ndo unawafanya wawemaskini pindi watakapogundua kuwa mchawi wao ni ccm itakuwa ndiyo mwisho wao
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Zakumi ranks za ccm wapo wengi kupita kiasi ndiyo maana lusinde alipendekeza mkapimwe.tunawapima kwa kauli zenu.
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ngosha ur very right hayo uliyopendekeza na mengine mengi kwa mpangilio wa kisomi utaona matokeo yake.kazi yao itakuwa ni kubisha ukweli.Once vijijini wakigundua kuwa mchawi wao ni ccm basi huo ndiyo utakuwa mwisho wao.
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu collezine ur very right nakubadiliana na wewe lakini given the situation iliposasa kumekuwa na mapendekezo ya muda mrefu ya kuwa na tv ya cdm lakini utekelezaji wake umekuwa unasuasua na hakuna hata hope ni lini itakuwa onair.mi nilikuwa na wazo wanaweza kuanza program ya kubrodcast flash sms kwa watu kuelezea ukweli wa mambo kuhusu yote ambayo wanafichwa ukweli na uzuri wa kwasasa kuna software ambazo zinafacilitate hiyo service.elimu hii ikiwafikia watu wa vijijini itakuwa pigo kubwa kwa ccm.hii haitaji investment kubwa kama tv lakini inaweza kuwa na impact
   
 15. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  sio kidogo mkuu . Naona huyu jamaa hajui anaongea nini . Kama wana cmd wote mna mawazo kama huyu mtu , hamtakaa mshike dola .
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bucho kama akili mlizopewa na mnazojivunia hali ndiyo hii basi iko shida!ukipenda chongo linageuka kuwa kengeeza!
   
Loading...