JK Anaongoza Afrika Kwa Safari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Anaongoza Afrika Kwa Safari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 21, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Africa Most Travelled Heads of States Vs. US Presidents

  Africa Presidents
  Jakaya Kikwete 318, Tanzania (entire Period)
  Yoweri Kaguta Museveni 208, Uganda (entire period)
  John Evans Atta Mills 131, Ghana (entire period)

  US Presidents
  Barack Obama 17, USA (first term)
  Gerald Ford &George Bush 15, USA (first term)
  Richard Nixon 14, USA (first term)
  George W. Bush 11, USA (first term)
  Ronald Reagan 2, USA (first term)

  Wengine walikuwa na safari moja, wengine hawakutoka nje ya marekani

  Source State Department
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mjomba hizi ni hesabu za mwaka au kipindi fulani cha uongozi ?? na trip hizi za JK ni za USA tu au nchi zote?
   
 3. m

  mtume pauli Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii analysis yako haijakamilika kajipange ulete taarifa timilifu. ni kwa mda ganiwa kukaa madarakani safari hizozimefanyika?
  like museveni kakaa ikuluya uganda over 15yrs is it real kasafiri tripu hizo tu?
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unataka kusema kamzidi mseven na ukizingatia jamaa kakaa muda wote huo madarakani??
  au ni kwa mwaka mmoja tuu mkuu!
   
 5. v

  valour Senior Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ungeweka na vipindi vyao ingetupa picha halisi. Maana Museveni amekuwa Rais wa Uganda toka mwaka 1986, kuwa na trip 120 kwa miaka 26 pengine ni sawa.
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  jamani ameshaweka kwenye mabano entire period ( muda wote aliokaa madarakani) sasa mnachotaka ninini? au hamuamini kuwa kasafiri zaidi kuliko mseveni pamoja na kuwa NMseveni kakaa madarakani muda mrefu zaidi? msisahau kuwa pamoja na kuwa raisi wetu ndio mkuu wa nchi ila inaonyesha kuwa nafasi ya waziri wa mambo ya nje hakuiachia kabisaalipoukwaa urais.
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Inawezekana. Museveni anatoka kwenye nchi ambayo kwa muda mrefu haikuwa political stable, most of the time lazima awepo nchini kwake. Kwani Taznania si huwa mnaita ni kisiwa cha amani? sasa kuna haja gani ya Mkuu wa Kaya kuwepo, si bora akauze sura??:becky:
   
 8. c

  collezione JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Marekani ukitoka nje ya nchi lazima uje uwaeleezee wananchi kwanini umesafiri na hiyo safari ina faida gani kwa Taifa la marekani.... Ndo maana hao maraisi wao hawasafiri safiri ovyo.

  Sisi raisi wetu haagi wala maelezo hatoi. Cha zaidi atakuambia naenda kuomba misaada.

  "Umaskini Tanzania unasababishwa na viongozi wetu" na kwasababu entire population is uneducated. Tunaendelea kuwapigia magoti hao viongozi mafisadi
   
 9. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Museveni hawezi kwenda mbali. Joseph Kony anamsubiria mtaa wa pili....Bongo hakuna matata, Mtoto wa mkulima na mzee wa utepe wako fit, hata JK akikaa miezi hakuna noma
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hapo mimi sikubaliani kabisa. JK kila siku yuko kiguu na njia ndo iwe amesafiri mara 318 tu??

  Angalia vizuri source yako. Hata hivyo kama kila safari JK anatumia siku 4 (Ingawa safari nyingine huwa anazidisha) itakuwa amekuwa safarini siku 318x4=1272 ukigawanya kwa 365 unakuta JK alikuwa safarini kwa takribani miaka 3 na miezi sita kati ya miaka saba aliyoko madarakani.
  Twende kwenye posho sasa, kama kwa siku anavuta PER DIEM ya dola 1500 zidisha kwa siku 1272 alizokuwa ughaibuni utapata dola 1,908,000 ukizidisha mara exchange rate ya 1600 utapata Tshs 3,052,800,000= Huu ni ufisadi wa hali ya juu sana kwa kiongozi mmoja tu kujiingizia mabilioni kutokana na posho. Je watu anaoenda nao wameingiza ngapi?? No wonder anapenda safari, hii hela nayojiingizia ni kubwa sana. Huu mtaani kwetu wanaita wizi wa kalamu kupitia imprest
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kikwete si Janga la taifa peke yake, bali ni Fisadi la Kimataifa linaloendekeza kuombaomba na niaibu kuwa na Kiongozi kama Kikwete hapa Tanzania, najisikia aibu kama nikiwa nje ya ya nchi halafu mtu akisema rais wako ni Kikwete maana najisikia kuongozwa na mtu asiyekuwa na upeo wala uelewa.
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kikwete inabidi siku anaondoka tunajaa uwanja wa ndege anashindwa kutua ili arudi alikotoka. atumtaki tena huyu mtu.
   
Loading...