ugomvi wa posho za kampeni umeleta kero kwa wakazi huko arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ugomvi wa posho za kampeni umeleta kero kwa wakazi huko arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jackbauer, Mar 21, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii nimeipata kwa rafiki yangu mmoja mitaa ya USA kwenye kambi ya timu ya kampeni ya ccm.anasema hawalali kwa raha kwani mijamaa ya ccm ikitoka kwenye kampeni hufikia mitaa hiyo kuchukua mgao.mara nyingi kuna kelele na matusi kuashiria mgao wa posho hauendi kama ulivyopangwa.
  Jirekebisheni jamani
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Title thread havishabihihani na haieleweki unachotaka kumaanisha
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  rudia kusoma utaelewa tu.hata mimi ilinichukua muda kujua kusoma na kuelewa!
   
Loading...