Arumeru kumekucha

eliasp

New Member
Mar 20, 2012
1
1
Nadhani ccm itakiona cha moto tar 1 kwani cc vijana pamo1 na wazee we2 2mejipanga kum2ma nassari bungeni. People's power.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Jimbo lenu kwa vipi na nini kimetokea mpaka useme Arumeru kumekucha na jimbo ni lenu? Tueleze basi tukuelewe angalau
 
user-online.png
Godwinnko
Today 13:09
Junior Member Array
Join Date : 12th March 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0Likes Given0
icon1.png
Re: Arumeru kumekucha

Karibu sana majamvini mwanamapinduzi!
Kwa jina lako najua wewe upo eneo la tukio LIVE!
HEBU TUPE NYETI ZA HUKO MLIMANI!
 
Nadhani ccm itakiona cha moto tar 1 kwani cc vijana pamo1 na wazee we2 2mejipanga kum2ma nassari bungeni. People's power.

Najua ni mkereketwa lakini huja jusify kivipi jimbo limekwenda CDM. Elewa magamba wanajipanga sana kuondoa aibu inayowanyemelea ya kushindwa kutetea jimbo lakini wanashindwa kupingana na nguvu ya umma.
 
hakuna wa kuizuia cdm arumeru.

Kwa kweli Mi cjaiona kabisa wa kuizuia MAGEUZI pale Arumeru!

Kwa ujumla raia wameichoka sisiem na mambo yake!
KAULI hii itakamilika.
HAKUNA LISILOWEZEKANA,MAGEUZI NI SASA NA KAMA SI SASA NI SASA HIVI.

Mageuzi ni leo wadau!
 
Nadhani ccm itakiona cha moto tar 1 kwani cc vijana pamo1 na wazee we2 2mejipanga kum2ma nassari bungeni. People's power.

mnajua mnaongea bila utafiti madiwabi 23 kila mmoja amejipanga kuwa na wapiga kura 2500 unajua arumeru mashariki ina kata 17 zote ni za ccm na wabunge maalumu kwa nafasi zilizobaki lakini kuna vijiji 76 vyote ni vya ccm lakini baya utafiti uliofanywa na chadema na katibu mkuu wao amani golugwa anao vijana wengi hawamo katika daftari la wapiga kura na ndiyo wanaojaza mikutano yao na wengine kutoka arusha mjini,moshi,hai na karatu sasa hapo unashindia wapi ? ccm sasa wanatafuta ushindi unaofikia asiliami tisini.
 
Cha msingi ni kuzidi kujipanga nawafahamu CCM.....
 
Huo utafiti wako umefanya na mmeo? na mmeufanyia kitandani....Kwa tarifayako kuna viongozi wa CCM wame ahidi kumpigia kura Nassari, hao ni viongozi na kuna sehemu ambako CCM ilikuwa na mizizi tumeshaing'oa.....kilicho baki ni kula ccm kura CDM...
 
Nadhani ccm itakiona cha moto tar 1 kwani cc vijana pamo1 na wazee we2 2mejipanga kum2ma nassari bungeni. People's power.

Mjipange kweli kweli kumtuma Nassari Mjengoni, maana CCM nao pia wamejipanga kumtuma Mkenya wao Mjengoni
 
kula ccm kura cdm ndio kauli mbiu inayowika arumeru.hakuna uchaguzi mgumu kwa ccm kama huu wa arumeru east.
 
cha muhimu kulinda masanduku ya kura mwanzo mwisho,kujua matokeo ya kila kituo hapo hapo yabandikwe!
 
Back
Top Bottom