Mama kabaka anaijua Tanzania?(anajua ajiri anazozungumzia?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama kabaka anaijua Tanzania?(anajua ajiri anazozungumzia?)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Mar 21, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mwalimu huyu ambaye leo ni waziri wa kazi na ajira,amenishangaza kuzungumza swala la ajira ambalo ni BOMU lijalo kubwa,ktk hali ya kimasihara kiasi hicho sijui kama anafanya utafiti au wanasema tu.mfano udom walitangaza nafasi za mawarden 30 wakaomba elfu 6 hao ni graduate's.sasa mathalani kwa mwaka wanagraduate laki 8 hiyo bajet ijayo itakuwa ya trilion ngapi? Aweze kumudu hili?.badala ya kupanua fursa na kuleta mitaala ya kumfanya mtu aelimike na kuweza kujiajiri tunan'yany'ana na kukariri copy and past ili tupate vyeti.hapa panaitaji utafiti wa kina si siasa tu
   
Loading...