Nani Anaipenda CCM??

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
wanajamvini, mimi ni mtanzania mwana CCM kwa muda mrefu, ila nimeshachuua kadi ya pipo-pawa kabla ya kuja uchina kwa mda mfupi, ila pia ni mgeni katika hili jukwaa. Kila ninapokwenda, hadi vijijini, kutaja CCM ni kama kujitakia kifo. Nashangaa 2010 wengi waliipigia CCM kura baada ya kupikiwa pilau ugali na samaki. mlo wa siku moja wakauza haki zao za msingi na za watoto wao.
Naona ndgu zetu kama, Mwigulu, NGELEJA, makamba, kawawas, mwinyis, bashe na vijana wengine ndani ya chama tawala waliorithishwa madaraka, licha ya kujitahidi wapendwe, wametokea kuchukiwa vibaya sana. Je Kwa nini CCM inachukiwa kiasi hiki? je wanaona dalili kwamba wanachukiwa? au kwa vile wana dola wameridhika?
 
Mimi ni mmoja watu wanaoichukia ccm mpaka nikiona mtu anayeishabikia ccm naona tu kaongwa na maga.mba
 
Hakuna mtu anaipenda chama mufilis kama ccm, hata Kikwete anaichukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom