Ccm are crooks!!!Hili la vituo zaidi 55 kuongezwa na tume kinyemela si la kulinyamazia lazima cdm wahakikishe wanalifuatilia kwa karibu kulisemea majukwaani haitoshi.
source. itv
ccm wamekubali kushindwa,kilichobaki ni kundi la wahuni wanataka kuharibu uchaguzi.kama unabisha muulize sendeka na wazee wenzake.Kweli wanatakiwa kujiridhisha kabisa inawezekana magamba wameshacheza na daftari kwa msaada wa tume. Mfa maji kweli hakosi kutapatapa.
Vituo gani nyie hata uchaguzi bado mnaanza kulia lia hovyo au ndiyo mnaanza sababu.
CCM wamezidiwa mpaka basi!
Patachimbika, hakuna kuiba wala kuchakachua kura.