Nnauye amjia juu Lowassa
Waandishi Wetu | Mwananchi | March 22, 2012
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa...
Kijana mwenzangu ambaye upo Arumeru najua umekuwa uukifuatilia kwa makini na kuridhishwa namna ambavyo CDM kimekuwa kikipokewa kwa mikono miwili. Ikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi hapo...
Jumapili ijayo tutaenda kwenye vituo husika kupiga kura zetu,.Sote wana Arumeru tumesikiliza kampeni za vyama na wagombea na ninaamini tumeshafanya maamuzi.Kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi...
Uchaguzi mdogo wa Arumeru unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012 ambayo ni foolish day CCM inaweza kutumia vyombo vya habari ikiwa ni Redio na magazeti kuwahadaa watu kuwa uchaguzi umeairishwa ili...
Kampuni moja inayotoa huduma za kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es salaam, inadaiwa kula njama na baadhi ya maofisa wa Wizara ya Uchukuzi ili kukwamisha mradi wa ujenzi wa gati...
Nimeshangaa kipindi cha leo asubuhi cha jambo live kuona mwakilishi wa commonwealth kuulizwa maswali na mtangazaji wetu Gabriel zakharia kwa kiswahili halafu yeye anajibu kiingereza. Hivi tbc...
Lowassa aigawa CCM Arusha
ADAIWA KUPIGWA 'STOP' ASISHIRIKI,ASEMA NI UZUSHI WA KIPUUZI, CHADEMA WALIA
Waandishi Wetu, Arumeru na Dar
USHIRIKI wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kwenye...
Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha...
Kwa sasa kinachoendelea ni makada na wanachama wakiingia katika ukumbi wakibadilishana mawazo.... Saa mbili kamili shughuli rasmi itaanza.
Television ya Star tv inaonyesha live kwa wale ambao...
Posted on March 24, 2012 by zanzibaryetu
Baraza la Katiba Zanzibar kwa kushirikiana na Jumuiya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakiwa katika jukwaa kuu kwa kutoa elimu ya...
Wasema hata watoto wao wamegeuka
Chadema waanza rasmi kutumia chopa
Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, Siyoi Sumari
Siasa za kushutumiana, kupakana matope zimeendelea kutawala...
hawa ni wahanga wa mradi wa mabasi yaendayo kASI(DART).....................maendeleo ambayo hayazingatii utu?????
ina maana hatuna namna bora zaidi kuwahamsha wananchi wezetu bora zaidi ya...
Wakuu heshima kwenu
Muda sio mrefu mkutano wa utaanza rasmi. kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa makamanda kutoka maeneo tofauti. Huku akisubiriwa Dr Slaa na. ujumbe wake.
Updates
John...
Nimesoma sheria za JF sijaona sehemu na adhabu ya mtu anayeleta vitu vya uzushi, uongo, picha fake nk. Ama nimekuwa nikiona thread za uzushi zikihamishwa au kuondolewa bila ya mhusika kupewa...