Kijana wa Arumeru Nafasi yako Kuleta Mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana wa Arumeru Nafasi yako Kuleta Mabadiliko

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Pelekaroho, Mar 25, 2012.

 1. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Kijana mwenzangu ambaye upo Arumeru najua umekuwa uukifuatilia kwa makini na kuridhishwa namna ambavyo CDM kimekuwa kikipokewa kwa mikono miwili. Ikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi hapo jumapili ya tarehe moja april, sasa ni nafasi yetu kuleta mabadiko, ningeshauli kwa kila kijana mwenye simu na ambae ana namba ya simu ya mtu yeyote ambae anasifa ya kupiga kura hapo jumapili ya tarehe moja, basi kuanzia leo watumie ujumbe kuwa wahakikishe jumapili wanakwenda kupiga kura na wanampigia Nassari kura ya NDIYO, fanya hivo kila siku mpaka siku ya uchaguzi, naamini kwa kufanya hivyo utakuwa umetoa mchango mkubwa katika mabadiko ya siasa za Arumeru na Tanzania kwa ujumla. Mabadiliko yanawezekana chukua hatua
   
 2. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks tutafanya hvo kamanda na pia mtu upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzio hata kama ni mzee.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  juhudi ziendelee mpaka siku ya uchaguzi ambapo ikiwezekana watu wahimizane kutimiza wajibu huu.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  BAVICHA SASA KIPENGA PIEEEEEEEEEEE MPAKA USHINDI MURUA WA HAKI NA UTETEZI WA UTU WA KILA MTANZANIA UPATIKANE BILA ZENGWE ARUMERU MASHARIKI TANGU SASA!!!!!!!!!!!!!

  Askari wetu wa miavuli BAVICHA,

  katika hii wiki ya lala salama Arumeru ni vema kuliko kawaida 'Dozi ya Siasa za Kistaarabu' mkanyunyiza mtindo wa Igunga kutwa mara tatu kufikisha ujumbe wa ukombozi katika kila lango la kila mpiga kura katika kila kijiji jimboni hapo na hatimaye kuhitimisha kwa mkakati wa kufa mtu katika kudhibiti usalama wa kila kura itakayopigwa siku hiyo.

  Kamanda Heche tunahitaji kuona organisation skills na usimamizi wa kitimu kwa kushirikiana kwa karibu sana na machalii wote wa Arumeru Mashariki (kama Kamanda Vincent Nyerere tangu alivyofanikiwa na msaidizi wake Mchungaji) tangu sasa.

  Kipenga pieeeeee, pipoz pawaaaaa mpaka ushindi kuubeba mbeeeele kama tai huku sote tukishirikiana kwa kila hali kila mahali na kila waka!!!!!!!!!
   
Loading...