Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbinu ya Kulinda Kura za Joshua Nassari Arumeru Mashariki... 1. Kila mpiga Kura ahakikishe anawahi mapema na Kupiga kura. 2. Kila moja wetu ahakikishe anakaa nje ya mita 100 kutoka kituo cha...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali ambayo sikuweza kuiamini, ni pale nilipoikuta treni iliyokua ikitokea mpanda kuelekea Tabora ikiwa imezima katikati ya Station ya Urambo Na na Station ya Ussoke (Maeneo ya Checkline...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ikiwa kumebakia siku chache kabla ya kupiga kura huko Arumeru ni vyema ikaeleweka wazi kwamba hakuna maeneo makamanda wa CDM watatakiwa kuwa macho kama muda wa kuhesabu kura,CCM hawana haja ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi hebu tusaidiane kujaza mtihani huu kwa faida ya Chadema na viongozi wake wote walio kwenye uwanja wa mapambano huko Arumeru. Hivi ikatokea mgombea wa Chadema (Nassari) ameshinda na kila...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wakizungumzia mambo yaliyoikumba cuf pamoja na mambo ya Tanesco
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali iliyowashangaza wengi kule Kirumba, Jamaa mmoja katika kijiwe cha kahawa mida ya saa 12:40 jamaa katika utani kajikuta anapelekwa Polisi na wana Cuf baada ya kutamka hivi ''wana CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna tetesi kuwa RA atajitosa kugombea Urais mwaka 2015. Yangu macho na masikio....
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukiwa njiani na Crashwise kuelekea katika mkutano wa kampeni wa CDM katika kijiji cha Shambalai (Mbuguni), Gari yetu ilipata mushkeri ktk kijiji cha Maweni. wakati tunasuburi msaada tukapata...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni baada ya kumtuhumu kupiga mawe msafara ya ccm huko Arumeru. Source: Mwananchi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi napata mashaka kidogo na utata wa swala kugombea nafasi ndani ya Chama cha upinzani ila hali ukiungwa mkono kwa hali na mali kutoka chama tawala...... Hii inaleta tafsiri tata sana mfano...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni baada ya kumwaga matusi ya nguoni hadharani katika uwanja wa ngarasero tarehe 26 atimae tarehe 27 wakatangaza kuwa kutakuwa na mkutano tena tarehe 28 pale pale uwanja wa ngarasero.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Ni wazi sasa pengo lako limejithiharisha wazi,nakumbuka kwenye chaguzi wa igunga tulipata habari kwa wakati na uhakika.kitu ambacho kwa sasa imeonekana ni vigumu kwa baadhi ya makamanda walioko...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Dalili za mgao wa umeme zinaonekana dhahiri haswa baada ya fedha ambazo serikali iliahidi kutotolewa. Mambo haya yawekwe hadharani huko Arumeru ili wananchi waone wanaenda tena kuchagua giza...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
  • Closed
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata...
2 Reactions
112 Replies
12K Views
Kuwa Mwanachama au Kiongozi wa chama cha upinzani nchini ni KAZI. Lazima ukidhi vigezo vikuu vitatu: UJASIRI UVUMILIVU na UMAKINI Bila ujasiri huwezi kukabiliana dhulma katika jamii Bila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania imekua ikipokea tuzo nyingi za kimataifa kinyume na wananchi tunavyoona halì halisi,tuzo hizi ni kama zile za utawala bora,demokrasia na kadhalika,je? Wanatusanifu au ni ile hulka ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kada wa chadema kata ya sing'isi ambaye pia ni katibu wa hamasa bi.anna akyoo amejiuzulu rasmi leo na kukabidhi kadi yake na kurudi kundini pia kijana wa kata ya hiyo maarufu kama simba aliyekuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sababu ya msingi ya kuanzishwa kwa CDA ikianzishwa miaka 39 iliyopita kwa lengo la kusimamia upangaji wa mji wa dodoma ili kuwa makao makuu ya nchi kitu ambacho kimeshindikana sasa kuna aja ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakuwaje kila wanachokidhamilia jirani zetu kinatekelezeka? Kenya to build Africa Upepo wa singida iliishia wapi au bado tunatembeza bakuli?
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Jana jioni kamanda Joshua Nassari alimalizia mkutano wake wa sita kwa siku hiyo katika kata ay maji ya chai ambapo kama kawaida watu walisikika wakipiga ukunga pale walipokumbushwa machungu...
7 Reactions
57 Replies
8K Views
Back
Top Bottom