Mgao wa umeme: CHADEMA mwageni sumu Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa umeme: CHADEMA mwageni sumu Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwana Kwetu, Mar 27, 2012.

 1. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 60
  Dalili za mgao wa umeme zinaonekana dhahiri haswa baada ya fedha ambazo serikali iliahidi kutotolewa. Mambo haya yawekwe hadharani huko Arumeru ili wananchi waone wanaenda tena kuchagua giza badala ya nuru. Wananchi waambiwe ili waanze kutenganisha pumba na ngano na wajiulize mara mbili kabla ya kwenda kumchagua Sioi
  Kuna uwezekano kwamba Tanesco imeombwa isubiri uchaguzi wa Arumeru uishe kwanza ndipo mgao uanze rasmi. Naomba CDM iwafungue wananchi ambao bado wanafikiri CCM ni chama kinachoweza kuwaletea maendeleo. CDM inatakiwa iwaeleze kile ambacho kinawasubiria wana arumeru baada ya maneno mengi ya uongo kutoka CCM kama kawaida yao na waaelezwe kwamba badala ya kulipa hela za kuwapatia waTZ wote wamepeleka hela hizo Arumeru kwenye kampeni ambazo hazimsaidii MTZ yoyote zaidi ya kumpatia Sioi ajira na kumfuta machozi kwa kifo cha baba yake.
  Aibu hii iwekwe hadharani kwani ni ya serikali ya kitapeli ya CCM
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umesomeka
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  CDM kama mpo hapa lianzisheni Leo
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Kweli wakumbusheni sakata zima la Richmond na kuoanisha kuwa mgombea wa CCM Siyoi Sumari ni mnufaika mkubwa wa mafao haramu ya mradi haramu wa Richmond ulioasisiwa na mkwewe EL na rafiki zake RA na JK.Waelezeni janga linalokuja la nchi kuingia gizani kuwa ni matunda ya mikataba ya kifisadi iliyosimamiwa na huyo mzee wa harambaee kwenye makanisa.
   
Loading...