Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ibange, Mar 26, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

  "...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

  "Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

  Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

  Source.Dira ya Mtanzania.

  My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo

  Dr. Slaa akanusha

   
 2. H

  Heri JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Homework ya leo.

  Nani ana finance helicopter za CHADEMA?
   
 3. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akanushe naye kama Majimarefu ili picha zianze kumiminika! Ole Sendeka kanywea maana naye alitaka kuleta za Majimarefu kuukana ukweli, lakini kwa lile gazeti la Mwananchi la juzi, jamaa nasikia jongoo karudi mkiani!
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  MH! MBONA SIJAELEWA HUYO ROSTAM ALIFIKA LINI ARUMERU. NA HIYO DIRA YA MTANZANIA NI KIPINDI CHA RADIO,TV AU GAZETI! KAMA NI tv IPI KATI YA HIZI tbc,SIBUKA,C 10,ITV.CLOUDS,MLIMANI,C2C NK. AU KAMA NI rADIO PIA NI IPI?
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Dar hivi kilechuo cha propaganda bado kipo kule kigamboni???
   
 6. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh napita
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  SWALI LA PILI...Nani anafadhili Mwigulu kubaka na kuzini na wake wa watu? a case study of Igunga constiuency
   
 8. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huwezi kuuita huu uzalendo hata kidogo niunafiki, uzalendo ulikuwa kutokutuingiza kwenye ma richmond na dowans
   
 9. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha,huyu jamaa ni mtu mmoja mwenye akili sana...na kwa harakaharaka unaweza sema kua ana waunga mkono chadema,ila ukweli ni kwamba anawarusha roho ccm!..na kwanini anawarusha roho?..ni kwasababu ccm ihofie jambo hilo,na ccm impitishe edward lowassa katika nec ya kuwania urais 2015!!...very simple..
   
 10. paty

  paty JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  wanachama wa CDM , kila mkutano linapitshwa kapu... nguvu ya uma ina fanya TUKU TUKU linakata mawingu... PEOPLE'ZZZZZZZZZZ power
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Source: Dira ya Mtanzania!!......Asante kwaheri.
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...anaambukiza shombo ili wote waonekane hawana tija.
   
 13. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nimeisoma hii habari mara zaidi ya 20 na nasita kuiamini. Kama ni ya kweli nami pia ninalazimika kubadilika!

  lakini huyu bwana Rostam mpaka aje kubadilisha mawazo ya watu nia lazima aeleze ukweli wenye nguvu ya kumfanya kila Mtanzania aichukie ccm mbali na hapo, sidhani!!!!

   
 14. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni jambola kawaida kwa waungwana,ile lulu iliokuwa ina ubiriwa na watnzania imebadirika angalieni msije uziwa kichupa
   
 15. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo haikuhusu chadema tuna helicopter zetu mbili na si za kukodisha,hongera nzee ndesamburo kwa kuona mbali.au unataka kutuanbia ni rostam??
   
 16. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mmmh! thread zingine bwana....
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  hivi zile za picha za prof majimarefu akiwa kambi ya chedema naweza kuzipata humu jf?..msaada plz

  kuhusu rostam msimwamini hata kidogo...
   
 18. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masaburi!! yako!!
   
 19. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mwenye macho haambiwi ona
   
 20. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  nadhani ku-solve swali la homework yako tuanze kwa kuuliza... je kukodisha helkopta, say kwa siku, ni sh' ngapi??
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...