Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

jamani hvi wasira yupo arumeru au keshapigwa chini cjaskia kabisa matusi yake kwa mda
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nadhan umefika wakati kwa viongoz wa kitaifa kuanza kuwajibika,haiwezekan waziri mkuu ukashindwa kusimamia maneno yako..labda utuambie ww ni waziri mkuu kilemba waziri mkuu ww ulishindwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
katika mbinu za kuwarubuni kina mama wa meru waziri wa uwekezaji amewaagiza kina mama waandike majina ili wapatiwe misaada. Mytake: Hivi nyie magamba mtaendelea kuwarubuni wananchi mpaka...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Simsifii Huyu Dada ila Dada ana hoja nzito, Anaushawishi. Kweli CDM ina vichwa hebu msikilize Mdee: Mabadiliko ya Arumeru yataletwa na WanaArumeru wenyewe - YouTube
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwigulu ni wazi umeishiwa sera na hoja,Dr.slaa mumemshindwa kwa hoja,mnabaki kukataza tusiwasikilize cdm,kwanini?k
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamani nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muendelezo wa vipindi vinavyo rushwa na MLIMANI TV kila siku saa 3. kuhusu jimbo la arumeru jamani jamani Jamani kweli watanzania Wenzetu wanaishi maisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maelfu ya wananchi wa mji wa Songea wamejipanga barabarani hivi sasa kumpokea naibu katibu mkuu wa chadema Zitto Zuberi Kabwe anayetarajia kuwasili mjini hapa muda mfupi ujao akitokea Mbeya na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Salam sana Mh, Tunashukuru sana kwa utendaji wako mzuri, ila tunaomba wakati mwingine kauli za amri zitolewe kwa watendaji wengine wanaowajibika kwa Watanzania wote.Sekta za elimu,Afya,maji,uvuvi...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Kampeni za lala salama Arumeru zimeshika kasi, huku chama kubwa CCM kikifanya kampeni zake kisayansi zaidi na kupalilia ushindi wake ambao tayar unaonekana dhahiri katika jimbo la Arumeru. Chama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeangalia hali halisi ya arumeru mashariki nikabaini ushindi mkubwa wa mgombea wa chadema Bw nassari,kwa kutambua kauli mbiu ya 'wao wana pesa,sisi tuna mungu' kama kawaida raia tunajitolea...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Mwanadishi Wetu,Arumeru Katika kampeni za uchaguzi wa mdogo jimboni Arumeru Mashariki, imebainika kuwa tabia ya chama cha mapinduzi (CCM) YA KUUZA NA KUNUNUA UONGOZI ,imevuka mipaka. Safari...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wanachama wa CDM ili tujihakikishie UShindi Wazo langu ni kwamba ni vizuri kama tukipata mawakala wenye mioyo migumu, wasiotishika kirahisi wasiohongeka na elfu kumi naamini tukifanya hivi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi? Nimekuwa nikifuatilia kwa makini siasa za Arumeru Mashariki kupitia vyombo mbalimbali vya Habari, lakini nimedauti sana juu ya taarifa zinazorushwa na ITV kuihusu CCM, mara nyingi sana...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Magazeti ya leo yameripoti kuhusu matukio mbalimbali ya kukamatwa kwa wafuasi wa CHADEMA na wana shikiliwa na polisi. Isije ikawa ni mbinu mojawapo za kupunguza wapiga kura. Viongozi na wafuasi wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waraka wasambazwa Watu wasiojulikana jana walisambazwa waraka ambao unadaiwa kuandikwa na wabunge wa CCM ambao wanapiga vita ufisadi wakitaka mgombea wa CCM, Sioi Sumari asichaguliwe kwani...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Says Aggreko has withdrawn 100MW from grid over 230bn/- The Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) has officially announced a countrywide power rationing following withdrawal of 100...
0 Reactions
202 Replies
16K Views
Katika kuhakikisha wanautumia muda uliobakia ipasavyo, makamanda wa CDM wakiongozwa na Vicent Nyerere, Mchungaji Msigwa na madiwani baadhi kutoka Moshi saizi wapo kijiji cha Kitefu - Maji ya Chai...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani anayejua link ya website ambayo ninaweza kupata katiba ya Tanzania nitashukuru,itakuwa ni vizuri kama tutaituma jamii forums kuijadili katiba,hasa wale walio nje ya nchi kutumia mtandao...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
wanabodi leo cdm wanakandamiza live kutoka Tindigani.........uwanja umeshaanza kuja wananchi wakiwasubiri makamanda watie timu. Stay tune live frm the ground
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakuu, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imetoa barua na kuzigawa katika vyama vya Siasa target yao ikiwa Chadema eti ni marufuku kwa bendera za vyama kupepea ndani ya Manispaa,sababu eti...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom