TRA wanunua mafuta ya kidumu petrol station Urambo

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Katika hali ambayo sikuweza kuiamini, ni pale nilipoikuta treni iliyokua ikitokea mpanda kuelekea Tabora ikiwa imezima katikati ya Station ya Urambo Na na Station ya Ussoke (Maeneo ya Checkline alimaarufu kama ckeleni) Siku ya Jmosi mida ya saa kumi jioni. Baada ya kutafuta chanzo cha tatizo la gari moshi hiyo, niliamabiwa kua mafuta yameisha na yameagiziwa toka Urambo, sikuweza kuamini niliyo yasikia kuwa kumbe Shilika hili kwa sasa wananunua mafuta ya mitaani kwa kutumia kidumu. Nilikaa kwa takribani dakika 13 katika eneo hilo, ndipo nilipo ona gari la moja la serikali likileta mafuta kwenye madumu. Ndugu zangu wana wa TZ sasa hali inatisha ndani ya TRA. Serikali inatupeleka wapi. Kwani TRA huwa ina visima vyake vya mafuta.
Mhemiwa Nundu Tueleze, najua thread hii utaiona.
 
TRA = Tanzania Revenue Authority. ndo hao unamanisha au?
 
Mvivu wa kufikiri huyu jamaa, kama ki2 inasumbua uliza, alimaanisha trl.
 
TRA = Tanzania Revenue Authority. ndo hao unamanisha au?

Unajua hata mimi ilinichanganya kidogo nikadhani huenda mambo ya ubinfsishaji jina limeshabadilishwa kutoka TRC/TRL kwenda TRA. Ila ukimsoma anaeleweka vizuri sana.
 
Jamaa huyu ananikukumbusha ule msemo wa NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Kwanza ninavyojua engini za train hazitumii petrol ila zinatumia diesel. Kukurupuka mara nyingi si jambo jema waweza kusababisha maafa bure, nasikia sasa baadhi ya wafanyakazi wamesimamishwa kazi.
 
Naona mtoa mada anajaribu kusema kuwa treni ilikwama njiani kwa kuishiwa wese.
Wahusika ni TRL na wese walilobeba ni Diesel as most of the locomotive hutumia Diesel.
Naona mada apa ni kuwa why wese lilikata njiani gauge mbovu au watu wameuza wese njiani.
Nasikia wahusika wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi if this news tallies with what I sawa jana kwa TV
 
Katika hali ambayo sikuweza kuiamini, ni pale nilipoikuta treni iliyokua ikitokea mpanda kuelekea Tabora ikiwa imezima katikati ya Station ya Urambo Na na Station ya Ussoke (Maeneo ya Checkline alimaarufu kama ckeleni) Siku ya Jmosi mida ya saa kumi jioni. Baada ya kutafuta chanzo cha tatizo la gari moshi hiyo, niliamabiwa kua mafuta yameisha na yameagiziwa toka Urambo, sikuweza kuamini niliyo yasikia kuwa kumbe Shilika hili kwa sasa wananunua mafuta ya mitaani kwa kutumia kidumu. Nilikaa kwa takribani dakika 13 katika eneo hilo, ndipo nilipo ona gari la moja la serikali likileta mafuta kwenye madumu. Ndugu zangu wana wa TZ sasa hali inatisha ndani ya TRA. Serikali inatupeleka wapi. Kwani TRA huwa ina visima vyake vya mafuta.
Mhemiwa Nundu Tueleze, najua thread hii utaiona.

Wenye nchi wanasema: ''tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele''. Katika hali kama hii ya Urambo, ni aibu kutamka slogan hii!
 
Katika hali ambayo sikuweza kuiamini, ni pale nilipoikuta treni iliyokua ikitokea mpanda kuelekea Tabora ikiwa imezima katikati ya Station ya Urambo Na na Station ya Ussoke (Maeneo ya Checkline alimaarufu kama ckeleni) Siku ya Jmosi mida ya saa kumi jioni. Baada ya kutafuta chanzo cha tatizo la gari moshi hiyo, niliamabiwa kua mafuta yameisha na yameagiziwa toka Urambo, sikuweza kuamini niliyo yasikia kuwa kumbe Shilika hili kwa sasa wananunua mafuta ya mitaani kwa kutumia kidumu. Nilikaa kwa takribani dakika 13 katika eneo hilo, ndipo nilipo ona gari la moja la serikali likileta mafuta kwenye madumu. Ndugu zangu wana wa TZ sasa hali inatisha ndani ya TRA. Serikali inatupeleka wapi. Kwani TRA huwa ina visima vyake vya mafuta.
Mhemiwa Nundu Tueleze, najua thread hii utaiona.

Watoa mada kama hawa baadaye ndiyo wanatuwakilisha kwenye mikataba na wawekezaji, halafu tunakuja kulia tumeibiwa. TRA wananunua mafuta ya petrol kwa ajili ya treni, halafu useme ni makosa ya kawaida? Inasikitisha sana, na hii inatoa picha halisi kwa wengi wetu tusivyojali kuwa makini hata kwenye mambo rahisi lakini muhimu.
 
Back
Top Bottom