Huko Arumeru:Ikatokea hivi,Chadema wafanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huko Arumeru:Ikatokea hivi,Chadema wafanye nini?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mshikachuma, Mar 28, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanabodi hebu tusaidiane kujaza mtihani huu kwa faida ya Chadema na viongozi wake wote
  walio kwenye uwanja wa mapambano huko Arumeru.

  Hivi ikatokea mgombea wa Chadema (Nassari) ameshinda na kila kitu kiko wazi ila bado kutangazwa tu.
  Alafu from no where TUME YA UCHAGUZI kwa kushirikiana na JESHI LA WANANCHI na POLISI wanaam
  ua kumtangaza mgombea wa CCM (Sioi) kwa mtutu wa bunduki kuwa ndiye ameshinda uchaguzi huo...

  Swali: Je,wewe unaona viongozi wa Chadema na wapiga kura wao wafanye nini?
  (1) Waende mahakamani?
  (2) Wakubali tu matokeo kwa vile wao ni mtoto wa mama wa kambo?
  (3) Au wakubali tu,lakini wasishiriki tena kwenye uchaguzi wowote hadi pawepo na TUME huru?
  (4) Au walianzishe tu...i mean kichapo kwa kwenda mbele kutoka kwa people's power?

  Kama wewe ni mpenda mabadiliko na umechoka na serikali hii ya ccm,ulipenda Chadema na wapiga
  kura wao wafanye nini pindi wadhurumiwapo hiyo nafasi waliyoshinda kwa haki huko Arumeru?

  Nawasilisha mgongano wa kimawazo....karibuni lunch!
   
Loading...