Pengo lako halita zibika kamwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pengo lako halita zibika kamwe

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PISTO LERO, Mar 27, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni wazi sasa pengo lako
  limejithiharisha wazi,nakumbuka kwenye chaguzi wa igunga tulipata habari kwa wakati na uhakika.kitu ambacho kwa sasa imeonekana ni vigumu kwa baadhi ya makamanda walioko huko tangu kampeni hizi za arumeru zimeanza,ukizingatia kuwa makamanda karibu wote walioko huko ni wanachama wa jf lakini hakuna hata mmoja aliye jitokeza hapa hata japo mara moja kutuatia habari za uhakika kutoka chamani huku wakijua kabisa kuwa kwa wana chadema jf ni zaidi ya chombo chetu cha habari haswa ukizingatia kuwa vyombo vingine vya habari vilivyotutenga kana kwamba ukiwa mwanachama wa chadema basi wewe siraia wa tanzania,tumetelekezwa kama watoto yatima tukiachiwa kutafuta habari wenyewe na hata tukizipata hazina uhakika kama ni sahihi au laa.ndugu yetu na dada yetu wana chama na wapenzi wako tutakuku mbuka daima.

  PUMZIKA KWA AMANI DADA REGIA MTEMA.
   
 2. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amen. Rip
   
 3. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  R.I.P

  Lakini umeandika Penga
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wordz.............mana ndo mtu pekee aliekua aliekuwa akitu updates juu ya matukio mbalimbali ya chama.
  R.I.P dada
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Umeonaeee!!! R.I.P Regia.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu utafanya tention za watu ziachane na Arumeru, badala yake wanaanza kumwaga chozi.

  RIP Kamanda tutakukumba daima milele
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Aimeeen!
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Umenena kweli.
  Ila nahisi wengi waliopo huko wanatumia muda mwingi kupigana.

  RIP REGIA MTEMA.
   
 9. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  R.I.P dada Regia,mkuu naona umeshastua vidonda vya watu tena!
   
 10. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umenena jambo! Mbona walisema huyu mbunge wa Kawe, nani huyu ..... Alima Mdee sijui ataziba pengo!!!??? Imefikiaje?
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi wanakumbuka Urais tu. Huyu mdada kweli alikuwa kamanda wa kweli. Alikuwa akipakua vitu vya moto.
   
 12. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umenena jambo! Mbona walisema huyu mbunge wa Kawe, nani huyu ..... Alima Mdee sijui, ataziba pengo!!!??? Imefikiaje?
   
 13. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa k4c r.i.p
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mnatukumbusha machungu ya jembe letu hili
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah ndugu yangu, rip regia estalatus mtema
   
 16. m

  mtolewa Senior Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu we acha tu,yaani unanikumbusha igunga.
  dada yangu umeniacha upweke,kulia nilie na nani?
  tangulia dada, unipokee siku moja, kwa pamoja tena tufurahi,pamoja tena tucheke.
   
 17. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  r.i.p dada yetu mpendwa!
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, kwani kweli jf******, mtoa mada fafanua!
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi niliskia Halima Mdee atavaa viatu vya Regia hapa JF, hivi vimepwaya au kashindwa kabisa kuvivaa??
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hapo penye rangi nyekundu, na kuuliza swali hili hapa chini, sioni hilo kosa la limetokea wapi.
  Hata kuomba ufafanuzi ni Criminology?:A S 13:
   
Loading...