Mbinu ya Kulinda Kura za Joshua Nassari Arumeru Mashariki...

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Mbinu ya Kulinda Kura za Joshua Nassari Arumeru Mashariki...

1. Kila mpiga Kura ahakikishe anawahi mapema na Kupiga kura.
2. Kila moja wetu ahakikishe anakaa nje ya mita 100 kutoka kituo cha kupigia Kura.
3. Hakuna kumwogopa mtu yeyote awe Askari etc.
4. Kukesha kwenye kituo hadi matokeo yatangazwe...
5. Hakuana Mtu au Gari yeyote kwenda kwenye eneo la kuhesabia kura mpaka likaguliwe ikiwa nje ya mita 100.
6. Kusindikiza masanduku ya kura hadi kituo kikuu cha kuhesabia kura.. Ofisi za halimashauri.
7. Kukesha kwenye kituo cha kutangazia matokeo hadi matokeo yatakapotangazwa kituo kwa kituo na Jumla kuu..

Hizi Mbinu ndizo zilizosaidia kwa Nyamagana, Karatu, Arusha Mjini Ubungo, Kawe etc.

Tusonge Mbele Peoples Power.
 
Kuhakikisha mawakala wanajengwa kisaikolojia na kujengwa kiujasiri pia wa moyo na mwili

kuhakikisha mnakuwa kwenye sight ya kuweza kuliona jengo la mkurugenzi kwa usahihi kutokea pande zote nyuma mbele na pembeni na kuhakikisha kinachoingia na kutoka kinapitia geti moja na si vinginevyo tena kwa kukaguliwa,muweze kumonitor mpaka nyuma ya madirisha ya jengo yasije kugeuzwa panya roads
 
Hizi ni Mbinu za wapiga kura je za mawakala mbona huja ziweka....
 
Ikiwa hivi ikiwa kura zitatosha basi shangilia ushindi unakuja.
 
pamoja na huo ushauri wako mzuri ushauri mwingine ni huu mawakala nahisi tunao tu wengi tuna madiwani mkoa kilimanjaro tuna viongozi vituo ni 327 kama tulivyoambiwa kama cjakosea kila kata wakala mkuu awe mbunge sababu zipo 17 na majumuisho kwa ujumla sina shaka na BASIL LEMA hili ni jembe ambalo huwezi kulinunua au ikiwezekana aingie mbowe au slaa...naomba lema apelekwe kuzunguka vijiji vyote vya kata ya mbuguni siku ya uchaguzi huko ndo kuna hujuma kubwa na ndio kata ambayo ccm wanaringia kutokana na fedha chafu za kina askofu na kwingineko tuna makamanda wengi mno jaman tukiibiwa na hapo sasa sijui nani alaumiwe na chadema tuhakikishe watu wetu wote wanapiga kura
 
"We refuse to be, what they want us to be, we are CHADEMA and that is the way it is going to be, if you don't know, you can't educate us to for no equal opportunity, Am talking about freedom, people freedom and liberty!!!"
"CCM SYSTEM IS THE VAMPIRE"
 
Hizi ni Mbinu za wapiga kura je za mawakala mbona huja ziweka....

Mawakala wakishajua maisha yao yako mikononi mwa Raia walioko nje ya mita 100 hawawezi kufanya chochote,

La msingi ni kwamba muweke mawakala hadi upande wa CCM na vyama vingine hii ni muhimu sana....
 
pamoja na huo ushauri wako mzuri ushauri mwingine ni huu mawakala nahisi tunao tu wengi tuna madiwani mkoa kilimanjaro tuna viongozi vituo ni 327 kama tulivyoambiwa kama cjakosea kila kata wakala mkuu awe mbunge sababu zipo 17 na majumuisho kwa ujumla sina shaka na BASIL LEMA hili ni jembe ambalo huwezi kulinunua au ikiwezekana aingie mbowe au slaa...naomba lema apelekwe kuzunguka vijiji vyote vya kata ya mbuguni siku ya uchaguzi huko ndo kuna hujuma kubwa na ndio kata ambayo ccm wanaringia kutokana na fedha chafu za kina askofu na kwingineko tuna makamanda wengi mno jaman tukiibiwa na hapo sasa sijui nani alaumiwe na chadema tuhakikishe watu wetu wote wanapiga kura

Mawazo yako ni mazuri sana but tuwaweke watu safi wa arumeru na wasifahamiane. Mawakala wote watishwe kwanza na uwepo wa watu.

Maana hata wakichakachua na watu wakiwa wengi nje na kila kituo linaanzishwa pale pale... Ni kuwatoa unafiki.
 
Fanya sampling kuangalia kama hao wanaohudhuria mikutano wanazo kadi za kupigia kura au watakuwa nazo kuanzia tarehe 02/04/2012.
 
Mimi nipo huku akeri vijiweni napiga kampeni kijiwe kwa kijiwe nakuwaasa vijana wakishapiga kura wakae mita 100-110 kutoka kituoni mpaka zitakapohesabiwa kura ndivyo tulifanya arusha mjini tukashinda!!! Katiba inaruhusu kabisa kukaa meta 100 kutoka kituoni mradi tu usifanye vurugu. Najua viongozi wa ccm,mwenyekiti wa tume, msajili wa vyama watajifanya kuwatisha watu wasikae mita 100 kwamba haikubaliki waambieni wawaonyeshe kwenye katika. hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwaka huu'''
 
Back
Top Bottom