CCM wagawa Kanga na fedha kijijini Maweni, hata hivyo Kinamama waapa kutowapa Kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wagawa Kanga na fedha kijijini Maweni, hata hivyo Kinamama waapa kutowapa Kura

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Saharavoice, Mar 27, 2012.

 1. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Tukiwa njiani na Crashwise kuelekea katika mkutano wa kampeni wa CDM katika kijiji cha Shambalai (Mbuguni), Gari yetu ilipata mushkeri ktk kijiji cha Maweni. wakati tunasuburi msaada tukapata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wenyeji wa kijiji cha Maweni.

  Tumekutana na vijana wenye mwamko mkubwa wa mabadiliko, lakini pia kina mama wamekiri kupewa kanga na fedha na CCM, lakini wameapa kutowapa kura CCM.

  Viongozi wa CDM mtakapoenda kufanya mkutano Maweni, vijana wanahitaji bendera za CDM,, pelekeni bendera kwa wingi pale.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Asanteni kwa taarifa ma comrades, nadhani wahusika wamepata habari.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kinamama wamechoshwa na ulaghai wa ccm.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa taarifa mkuu.Bendera zitapelekwa kwa wingi
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Watu tumeshabaini tofauti ya KULA na KURA
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata mume tapeli, asiyejali familia dawa yake ni kupewa talaka tu.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ubwabwa vp ccm hawakuwalisha hao akina mama
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Uhuni watakaofanyiwa ccm huko Meru kamwe hawatakuja kusahau, hii itawafanya wajiulize sana kabla ya kuhonga chaguzi zijazo. Wananchi wamejanjaruka kwa sasa na huu ndio wakati muafaka kuwaonyesha
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,538
  Trophy Points: 280
  tunakula ccm tunalala CDM hiyo formula mkuu mbona wanaarumeru wengi wanaifahamu wala usipate tabu wamekariri kama sala ya Baba yetu..
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yao kamba mkuu mnyororo utawachubua
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,293
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Hakuna wa kudanganyika nyakati hizi...wamechemsha!!
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja,mwigulu ameshindwa iramba ataweza meru?
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa wakati umefika, Stuka, Mtu anyehonga kupata uongozi anakununua kuwa mbwa wake.
   
 14. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kweli makamanda wetu, wakuu wa kuhamasisha wapeleke bendera, skafu na kadi za chama ndo kumekucha hivyo!!! Pole sana mizunguko ya shughuli Mungu awatie nguvu!!! Kuna maeneo mengi wanahitaji vifaa vya kuhamasisha na kutoa changamoto kwenye chama hakuna kulaza damu wakati ndio huu!!!!
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Pokeeni izo give aways ila mwisho wa siku lazima muwapige chini CCM bse for 50 years hakuna significant changes kwenye mambo mengi!
   
Loading...