Tanzania na tuzo za kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na tuzo za kimataifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 28, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tanzania imekua ikipokea tuzo nyingi za kimataifa kinyume na wananchi tunavyoona halì halisi,tuzo hizi ni kama zile za utawala bora,demokrasia na kadhalika,je? Wanatusanifu au ni ile hulka ya kumsifia mtu ili upate unacho kitaka?zina msaada gani kwetu.
   
 2. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Utawala bora ni upuuzi mtupu TZ! Kwani tz ni taifa linalotawaliwa kipropoganda na kiuongo uongo, hata unaweza kuhisi kuwa polisi wetu kule ccp Moshi wanafundishwa kuwa waongo.
   
 3. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaopeleka taarifa za kupewa izo tuzo nimabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa bongo, sasa huwenda kuna agenda ya siri kwa hawa mabalozi. who knows?
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sijawahi kuamini kwamba nchi haijawahi kufanya zuri hata moja katika nyanja zote . kama kuna maeneo tumefanya vizuri haishangazi kama ambavyo haishangazi tukiambiwa tumefanya vibaya ktk maeneo mengine
   
 5. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mfano hi tuzo ya utawala bora wewe unaona inatustahili?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sanifu pamoja na kutaka kitu
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama ikitolewa tozo ya uongozi bora je nalo hilo unalichukulia je?
   
 8. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwan hizo tunzo zina msaada gani na maendeleo ya nchi?
   
Loading...