Kirumba Jamaa mmoja verses CUF

Kibwagizo

Senior Member
Mar 21, 2012
130
8
Katika hali iliyowashangaza wengi kule Kirumba, Jamaa mmoja katika kijiwe cha kahawa mida ya saa 12:40 jamaa katika utani kajikuta anapelekwa Polisi na wana Cuf baada ya kutamka hivi ''wana CUF mna taarifa?,nasikia mgombea wenu kajitoa katika kinyang'anyiro''zikiwa zimebakia siku kama 4 za uchaguzi wa Udiwani kata ya Kirumba. My take: wana Cuf toka tuwe na mfumo wa vyama vingi hali kama hii imewatokea wao tu? Au ndo asila za awa jamaa. Nawasilisha na ninaomba ambaye yalishamtokea kama haya tusaidiane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom