Nasari jana jioni kata ya maji ya Chai ktk Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasari jana jioni kata ya maji ya Chai ktk Picha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Imma01, Mar 27, 2012.

 1. I

  Imma01 Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Maji.jpg Fimbo.jpg Chai.jpg ya.jpg

  Jana jioni kamanda Joshua Nassari alimalizia mkutano wake wa sita kwa siku hiyo katika kata ay maji ya chai ambapo kama kawaida watu walisikika wakipiga ukunga pale walipokumbushwa machungu wanayokumbana nayo kila siku kwa miaka 50.
  Pia alionyesha fimbo nyingine na mgorori aliyopewa nawazee wengine katika mikutano ya mapema jana ikiwa ni niishara ya kumkubali na kuwaongoza kama alivyo fanya Musa.


  M4C​
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  haya yetu macho na masikio
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
 4. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Thanks 4 posting pictures and updating us outside Meru.

  Mora ambariki siku zote hasa 01.04.2012.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao wamekuja kusikiliza porojo, wanajuwa kabisa kuwa chadema hawana sera ya kuitekeleza Arumeru, watatekeleza kipi wakati Serikali ni ya CCM?

  Hapo sasa!
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kamanda, asante sana kwa habari picha...kama utaweza na leo hebu tuwekee za mikutano ya leo
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sera ziko kwa Lusinde, Maji marefu, Wasira.....tumia akili
   
 8. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pamoja mkuu nilikusoma ulikuwa na ipad ukichukua matukio.........
   
 9. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safi sana kamanda imma kwa kutupa hyo picha! Ni lazma magamba wajitawa....ze maana mziki wa nassari sioi hawezi kuucheza hata biti yake tu.
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wasiache kwenda kupiga kura kujaa mikutanoni si tiketi ya ushindi wa moja kwa moja.....ushindi ni kura ya kila kichwa kinachoonekana katika mkutano huu.

  CCM wao wanabanana kichwa cha mtu kwa kura moja. Hivi sasa CCM wanaweza kuwa wanajua wapiga kura wao wa uhakika wanatafuta wa kujazia tu.
   
 11. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mujwahuzia:
  Hello People's of Arumeru, Kukataa kumchagua Joshua Nassari ni sawa na kuwasaliti Watanzania tunaolia na umasikini katika nji yetu kila siku.wakati kila aina ya utajiri Mwenyezi Mungu ametupa lakini wachache wanatudanganya na kutupora kwa Ahadi ya Maisha bora hata maji ya kunywa kwanza uwaombe vyura msamaha ndipo uyapate maji ya kunywa.
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Picha hazitoi ushindi wa mezani bali kura zao kila mmoja

  picha zinavutia kuangalia lakini bado tunawahitaji wafike vituoni siku ya kupiga kura.

  Wasipofika ushindi ni wa CCM
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wewe mama una matatizo gani au umewekwa ndani na ligamba likakununulia modem kwaajili ya kushabikia lichama lake unaogopa aking'olewa utakufa njaa kwasababu hutapata tena hela za kifisadi ole wenu mnaotegemea mibwana ya ccm
   
 14. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  sera zilikuwa zinawaboa nini?m maana wote ukiwachek sura zao ni za huzuni kama vile wako msibani. mwalimu anayefanya wanafunzi wake wamuogope huyo hafai kuwa mwalim pia mgombea ambae wakati anamwaga sera zake anawafanya wananchi wawe kama vile matangani hafai kuwa kiongozi kwani haoneshi dalili za kuleta joy kwa wananchi. pole sana kijana mwenzangu
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Akili za Nagu!
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  This is so promising! M4C Forever!!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Movement for Change

  M4C
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kinachonifurahisha kwenye mikutano ya CHADEMA ni aina ya wahudhuriaji. Wote ni watu wazima 18+ tofauti na kule kwa mahasimu wetu kisiasa. Kama Nasari akifanikiwa kuwashawishi wote waliopo mkutanoni kumpa kura, anakuwa amejihakikishia kupata kura za wote wanaokuja kumsikiliza. Tofauti na yule mwenzetu anayewahutubia watoto wa shule ambao hawapigi kura.
   
 19. Silver Rock

  Silver Rock Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vijana wakapige kura siku hiyo ili Nassari ashinde kwa kishindo,hawa mafisadi wataisoma namba
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri poyoyo ni Mary Nagu tu, kumbe mpo wengi. Mnyika hivi sasa anatekeleza sera ya kupeleka maji ubungo ambayo CCM walishindwa kuitekeleza kwa miaka 50, yeye amewezaje kufanya hayo wakati serikali ni ya CCM? Acheni kutumia akili za kushikiwa nyie.
   
Loading...