CDA imeshindwa kazi ya kuifanya Dodoma makao makuu ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDA imeshindwa kazi ya kuifanya Dodoma makao makuu ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Mar 27, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sababu ya msingi ya kuanzishwa kwa CDA ikianzishwa miaka 39 iliyopita kwa lengo la kusimamia upangaji wa mji wa dodoma ili kuwa makao makuu ya nchi kitu ambacho kimeshindikana sasa kuna aja ya kuendelea kuwepo?
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tatizo wakubwa hawataki kukubali kuwa wamekosea
   
 3. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Aliyeanzisha makao makuu yenyewe hakutaka kwenda swekeni.
   
Loading...