Mwigulu Nchemba, kwanini unakataza wananchi wasiende kusikiliza mkutano wa CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba, kwanini unakataza wananchi wasiende kusikiliza mkutano wa CHADEMA?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MANGUNGO, Mar 26, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mwigulu ni wazi umeishiwa sera na hoja,Dr.slaa mumemshindwa kwa hoja,mnabaki kukataza tusiwasikilize cdm,kwanini?k
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Toka afumaniwe na mke wa kada mwenzie kule Igunga nilimtoa kwenye kundi la watu wenye akili, hivyo msameheni bure manake hazimtoshi.
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yule anayefuata itikadi ya chama cha mapinduzi kwa kupindua wake wa makada wenzie.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hawana jipya mkutano wao wa akeri wamezoa wananchi kutoka vijiji vya karibu ili waonekane wanashazi lakini wameshindwa kuvunja umati wa cdm
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  ahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
  Ndiyo maana!
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wameru lazima wamshikishe ukuta kwahiyo namshauri asafishe masaburi yake yawe safi
   
 8. O

  Original JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hakuna haja ya kutumia lugha mbaya.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wao akina chipanzee ndo waanzilishi wa lugha chafu.mwigulu ni kibuyu
   
 10. m

  mbanguli New Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwigulu kaendea wake za makada wenzie hana jipya
   
 11. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo na kwenye mahubiri kuna matusi kama ya Lusinde?

  Basi siendi hayo mahubiri. Maana Lusinde hajasoma kabisa alikimbia umande kwa hiyo akitukana sishangai kwa sababu si msomi anakosa weledi wa kisomi mbele ya waliostaarabika
   
 12. R

  Real Masai Senior Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hoja yako haina mashiko.

  Unapofanya mikutano ni dhahiri anayehudhuria anahitaji kujua na kusikiliza sera zako ili aweze kukupa kura yake.Sasa kumwambia mtu asiende kwenye mkutano wa chama fulani si sahii.Alichotakiwa Mwigulu kuhimiza ni amani na utuliuvu.

  Ningemsifu sana kama angelisema hili. Ila kwa kuwa CCM siku zote ndio waanzilishi wa Vurugu, lazima wawe na wazo la vurugu.

  Ninafikiri CCM ndiyo wanaitukana CDM kwenye mikutano yao. Nimefuatilia mikutano ya CDM watoa sera tu inayoeleza matatizo ya wameru.

  CCM lazima wabadilike... We need ACTION and not POROJO.
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi ulishaona wapi SHETANI akitaka wafuasi wake waende kusikuiliza neno la MUNGU? SHETANI akishauri hivyo it is like to shoot himself on foot. CCM nao wanafahamu fika, kwamba wakiruhusu wanachama na wapenzi wao kwenda kwenye mikutano ya CDM WATAKOMBOLEWA, Kwasababu watajua mema na mabaya, hulka ya binadamu ataamua kufuata MEMA na kuachana na mabaya (CCM).
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NazDaz kama kawa
   
 15. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  kumbe ni mzinifu wa wake za watu ngoja tuchonge na babu amshushe busha
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hoja ya nani haina mashiko?! Hoja ni ya Mwigulu, ambayo mie naishadidia....we vipi!!!
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  ?????!!!!!
  Funguka usiogope!
   
 18. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwigulu kichwa NAZI
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa hilo hata nami namuunga mkono.

   
 20. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 180
  Nazdaz nakushukuru kwa kuelewa. Nikwamba mtu anakwenda mkutano sio wa chama chake, pia bila kulazimishwa lakini anataka ageuze mkutano kuwa wakwake. Mtadharau lakini mimi nimeyaona madhara kuna kijana alishambuliwa kwa kudakia na kutukana. Nilisema kama mtu amekomaa kidemokrasia asikilize apime mwenyewe baada ya mkutano. Lakini kwa yule anayejua anakerwa na hana mpango wa kusikiliza ni bora abakie kwake. Leo kuna kijana wa CDM akapiga gari la CCM kwa mawe na alipojaribu kukimbia akazidiwa mbio niwambie imemgharim kuliko angebaki nyumban. Anayesema nimeishiwa sawa tu.
   
Loading...