Arumeru yametimia; CCM Kuchukua jimbo kiulainiiii kama Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru yametimia; CCM Kuchukua jimbo kiulainiiii kama Igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mr Emmy, Mar 28, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Kampeni za lala salama Arumeru zimeshika kasi, huku chama kubwa CCM kikifanya kampeni zake kisayansi zaidi na kupalilia ushindi wake ambao tayar unaonekana dhahiri katika jimbo la Arumeru. Chama cha Chadema kimeendelea kupoteza mvuto kadri siku zinavyosogea kuelekea siku ya tukio ya kugawanyika rasmi Chadema tarehe 1/04/2012.

  Zigo zito la kugombania urais wa 2015 katika chama chadema zimefanya timu ya kampeni ya kushindwa kukamilisha mpango wao wa kutetea mtaji wa kura walizopata mwaka 2010 ambazo nazo zimeonekana zitachukuliwa na Chama kubwa CCM. Sintofahamu kubwa imekuja baada upande mmoja unaotaka uraisi kukatiliwa kushiriki ufungaji wa kampeni wa chama hicho siku ya mwisho wa kampeni na kufanya wafuasi wake kuanza kususia na kuhujumu harakati za kampeni za chama hicho

  Tayari makada wakuu wa chama wanaendelea kuripoti na kupokelewa kwa hamasa kubwa hapa arumeru kwa ajili ya kufanikisha sherehe kubwa kuliko zote kufanyika katika kanda ya kazikazini ya kufunga kampeni za CCM na kuzindua shamrashamra za kumtangaza rasmi Sioi Sumari kama mbunge mpya wa Arumeru
   
 2. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  tumechukua tumeweka waaaaaaaaaaaaaa
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mashamba ya arumeru mashariki,mashamba ya chai lupembe,mgodi wa maka ya mawe kiwira, mashamba ya mpunga mbarali,kiwanda cha marumaru dodoma, benki ya nbc,uuzwaji wa nyumba za serikali, ndiyo mtaji wa chama kubwa na mungu ataendelea kukivumilia chama mpaka mwisho wa dunia.

  kidumu chama cha mapinduzi.
   
 4. Ishina

  Ishina Senior Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Vp tayari zile mbinu za Uchakachuzi zimekamilika?!!:redface:...!!! this time tunalinda kura zetu, hatukubali kuibiwa
   
 5. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nanukuu kauli ya zitto jana kata ya Kiwira kuwa Arumeru tutashinda japo kuna baadhi ya watu wanategemea Chadema itapotea
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Naona KIMBA limekubana.kanye,nawa miguu ulale,huo ubwabwa na 5000 uliopewa na magamba kwenye kampeni leo,
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  VBAICHA SASA KIPENGA PIEEEEEEEEEEE MPAKA USHINDI MURUA WA HAKI NA UTETEZI WA UTU WA KILA MTANZANIA UPATIKANE BILA ZENGWE ARUMERU MASHARIKI TANGU SASA!!!!!!!!!!!!!

  Askari wetu wa miavuli BAVICHA,

  katika hii wiki ya lala salama Arumeru ni vema kuliko kawaida 'Dozi ya Siasa za Kistaarabu' mkanyunyiza mtindo wa Igunga kutwa mara tatu kufikisha ujumbe wa ukombozi katika kila lango la kila mpiga kura katika kila kijiji jimboni hapo na hatimaye kuhitimisha kwa mkakati wa kufa mtu katika kudhibiti usalama wa kila kura itakayopigwa siku hiyo.

  Kamanda Heche tunahitaji kuona organisation skills na usimamizi wa kitimu kwa kushirikiana kwa karibu sana na machalii wote wa Arumeru Mashariki (kama Kamanda Vincent Nyerere tangu alivyofanikiwa na msaidizi wake Mchungaji) tangu sasa.

  Kipenga pieeeeee, pipoz pawaaaaa mpaka ushindi kuubeba mbeeeele kama tai huku sote tukishirikiana kwa kila hali kila mahali na kila waka!!!!!!!!!
   
 8. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  source ni jambo kesho nini?
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Chadema for life.
   
 10. kijenge

  kijenge Senior Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  we shoga kama huyo mwenzio aliyetoboa sikio na kuva shanga.mtasubiri sana kufanya sherehe, labda ya kumpongeza shoga wakwanza aliyethubutu kugombea ubunge tz na kushindwa.
   
 11. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45  Tayari makada wakuu wa chama wanaendelea kuripoti na kupokelewa kwa hamasa kubwa hapa arumeru kwa ajili ya kufanikisha sherehe kubwa kuliko zote kufanyika katika kanda ya kazikazini ya kufunga kampeni za CCM na kuzindua shamrashamra za kumtangaza rasmi Sioi Sumari kama mbunge mpya wa Arumeru
  [/QUOTE]

  Mi ccm ndivyo ilivyo: inawaza sherehe, kula, kulala, kulalana, baaaaaaaas!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ungesema CHADEMA watashinda uchaguzi lakini CCM ndiyo watakaotangazwa washindi ungeeleweka kiulaini wewe!
  Nakumbuka kauli ya Mkapa, aliposema CCM watangazwe washindi, CHADEMA wakatafute haki mahakamani!

  Kwa taarifa yenu hakuna kulala, kura zitalindwa mpaka kieleweke!
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kumbe CCM ilishinda kiulaini Igunga!!
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Enyi MAFISADI wote pamoja na chama CCM eleweni hili vema na kwa uwazi wake wote, ukweli wote ni kwamba;

  ... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

  Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Masaburi @ work uko dar unatabiri ushindi arumeru?waulize wenzio waliopo eneo la tukio.
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Csi 2po arumeru,dakika ni ya 86 chadema 7 ccm 1
   
 17. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  mmh, maskhara maskhara huwa kweli! Nahisi Haki isipotendeka na kuonekana Arumeru linaweza likaanzia huko na kuishia the Hague!
  Muda utasema!
   
 18. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah, mshikaji umenikumbusha ile vita ya Iraq na Marekani katika kumng'oa Sadam Hussein. Unamkumbuka yule afisa mawasiliano wao alivyokuwa anachonga wakati ukweli ulikuwa kwamba majeshi ya Sadam yanatandikwa ile mbaya. Hii ndo hali ambayo CCM mnayo huko Arumeru. Na bado
   
 19. capito

  capito JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tatizo watu wanasukumwa na ukereketwa wa chama mpaka matokeo yake wanakuwa wababaishaji, ukiangalia kura walizopata Chadema kule Igunga ukilinganisha na walizopata CCM ambao walikuwa wanatetea jimbo unashindwa kuamini kama kuna great thinker anaweza kuandika kuwa CCM walishinda kiulaini Igunga.
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kijana mwanaharamu wewe!!!!! Kupiga kampeni kisayani ndiyo kutukana?

  Kitu kimoja ninachokusifu ni jinsi unavyoweza kuflow,flow yako safi kabisa ila ni sumu ya mamba.
   
Loading...