Haya ya Arumeru sasa kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ya Arumeru sasa kiboko

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MATATIZO SABA, Mar 28, 2012.

 1. M

  MATATIZO SABA Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muendelezo wa vipindi vinavyo rushwa na MLIMANI TV kila siku saa 3. kuhusu jimbo la arumeru jamani jamani Jamani kweli watanzania Wenzetu wanaishi maisha magumu kiasi hiki maji hakuna vyura hospitali mmmm. Tanzania hii hii.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha jimbo langu hilo nimekaa sana huko!
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chagua Ccm! Maisha bora kwa kila Mtanzania.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  maaskofu na wachungaji wameshakunja chao,kuna nini tena?
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  twende tu
   
 6. a

  audacious Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  usishangae mkuu kuna watu wanaishi mita chache kutoka ikulu lakini wana matatizo zaidi ya hayo uyaonayo arumeru.hii ndo tz bana ishauzwa siku nyingi sana kwa muwekezaji mmoja wa msoga.
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Majibu ya kubetweka kwao ni tarehe moja.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Majibu ya kubetweka kwao ni tarehe moja.
   
Loading...