Kampeni za chadema Tindigani-live

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
wanabodi leo cdm wanakandamiza live kutoka Tindigani.........uwanja umeshaanza kuja wananchi wakiwasubiri makamanda watie timu.
Stay tune live frm the ground
 
Makamanda wanaendelea kuingia wakiongozwa na lwakatare....
 
MAKAMANDA HAWA WENYE KUJIPA WENYEWE RATIBA NGUMU SANA YA KUKIJENGA CHADEMA HAKIKA MNATUKONGA SANA NYOYO WENZENU HUKU USWAHILINI

Jamani Makamanda wengi sana wananizutia sana CHADEMA,

ila hawa Wahe Mch Msigwa, Tundu Lissu, Heche, Chiku Abwao,John Mnyika, Kamanda Lema, Mwita Maranya, Ben Sanane, Mushi, Nanyaro, Mzee Mwanakijiji na Kamanda Mr II wananikonga sana moyo kwa jinsi kila mmoja wao anavyojituma kivyake kukijenga chama chetu hata bila kusubiri kusukumwa kitu na uongozi wetu taifa.

Sisi tulioko huku nje kidogo ya uwanja wa mchezo si matani kwamba mnatupa sana raha kwa jinsi mnavyoendesha mambo yenu tena bila hata kusubiri vyombo vya habari kuja kutia muhuri katika kazi hizo.

Naamini sana vijana wengi mnoo nao wanavutiwa na juhudi zenu kila kona ya nchi kama mimi nilivyo hapa.

Kwa mpangilio wa shughuli wanazofanya Makamanda hawa tajwa hapo juu, ni rahisi mno mtu ukabaini hata bila ya wao kusema kwamba kila mmoja wao kama vile KAJIPANGIA MWENYEWE RATIBA NGUMU SANA yenye malengo ya kukiinua chama katika kila kitongoji - HONGERENI SANA TENA SANA!!


Pamoja mkuu....kamanda msigwa anaweka mambo sawa.kama makanda hawaingia
 
Upo very current mkuu.......lema anatoa somo la kulinda kura naona ndinga ya chadema ambalo linatumika kama jukwaa limeingia
Kila siku wanawaza kuibiwa.....mwizi always humuona mwenzake ni mwizi kama yeye!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom