Wazo langu kwa mh. Pinda

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam sana Mh,
Tunashukuru sana kwa utendaji wako mzuri, ila tunaomba wakati mwingine kauli za amri zitolewe kwa watendaji wengine wanaowajibika kwa Watanzania wote.Sekta za elimu,Afya,maji,uvuvi kwa kuzitaja baadhi zinahitaji maagizo tena yenye kuhitaji spot results visible to all Tanzanian.

Ni wazo langu kwani wengi hawaonekani kuwajibika, mf.inauma sana kuona watoto wa samaki wanazagaa masokoni wakati idara husika zipo.Samaki anayeweza kuliwa bila kuchambuliwa mithili ya tonge la ugali,uendelevu wa rasilimali hizi upo wapi?

Aksante
 
na ukizidi kuniambia matatizo ya nji hii nitalia? Nina pulesha ya kwenda pembeni, haipandi wala kushuka.
 
Back
Top Bottom