Kamata ya Polisi kwa wafuasi wa CHADEMA arumeru- ni mbinu ya kupunguza wapiga kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamata ya Polisi kwa wafuasi wa CHADEMA arumeru- ni mbinu ya kupunguza wapiga kura?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by nicksemu, Mar 28, 2012.

 1. n

  nicksemu Senior Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Magazeti ya leo yameripoti kuhusu matukio mbalimbali ya kukamatwa kwa wafuasi wa CHADEMA na wana shikiliwa na polisi. Isije ikawa ni mbinu mojawapo za kupunguza wapiga kura. Viongozi na wafuasi wa CHADEMA chukueni tahadhari, moja wapo ni kuto hudhuria mikutano ya kampeni za CCM, na kuto wafanyia fujo wafuasi na viongozi wa CCM. Ni kipindi kibaya bado masaa machache vumilieni mabaya yote na matusi wanayosema CCM mpaka tarehe ya uchaguzi. Zingatieni SERA.... Nawasilisha
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Everywhere is Fire, is Burning!
  As now the fire is out of control, there is Panic in the City!...Bob Marley!


  Jamaa wanaona njia inayoweza kusaidia ni kuwakamata watu....huh!
  Watawekewa dhamana, watatolewa, watakwenda kupiga kura za hasira!...that doesnt help!
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani hivi hawa ndugu zetu polisi hawapigiki na maisha doro yaliyoletwa na magamba hata wajipange kukamata ndugu zao wenye nia ya kuwatetea!
  Ee mola tuepushie yasije yakatokea ya mauaji kama ya arusha mjini. ( the heque!)
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  03_12_fga71f.jpg
  Kamanda wa ukweli wa FFU (USO MBUZI) akitazama mfuasi wa CDM Kalisti Lazaro akiingia kwenye gari la polisi baada ya kuvamia mkutano wa CCM eneo la Ngaresero.

  Inasemekana kumekuwepo na hali ya kukata tamaa ARUMERU hivyo baadhi ya vyma kuamua kufanya fujo baada ya kusikiliza sera, hali hii haitakiwi kuvumiliwa hata kidogo.
  Tunaliomba jeshi a polisi kutoa adhabu kali kwa hawa watu wanaotuhalibia hali ya hewa, tungependa uchaguzi ufanyike kwa uhuru ili watu wachague yule wanayempenda.
  Mungu ibariki arumeru.


  source: Habari leo front page
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Utatapatapa sana mwaka huu!!....
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nimedharau tu baada ya kuona Source Habari leo
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taarifa za Habari Leo hazina ukweli wowote wala sio za ku-quote!
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  HAri ya ccm ni mbaya sana
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kipindi kaka hiki huibuka magazeti ya ajabu ajabu mara nguvu ya hoja! Mara hoja kamili, mara gazeti lako, mara mkweli halisi!! Mara mtanzania tu, mara siri nzito!, mara mwanaharakati!, etc yaani utaona magazeti yenye vichwa vya ajabu ajabu!! Yasome sasa!!!!!! Mara dr slaa ni fisadi wa kutupwa!!! Mara slaa ni ccm!!! Mara slaa mamluki !!! Mara zitto kuwa rais, mara mikutano ya chadema yadorora, mara cdm yagaragazwa arumeru!!!(wakati hata uchaguzi bado!!) etc etc !!! Hii hatari
  kwa kifupi hii ni nguvu ya mafisadi!! Mafisadi huibua magazeti haya ili kuwachanganya wa tz!!!
  Na kuwaondoa kwenye msati wa kupata ukweli halisi wa siasa zetu.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Vijana walioupiga mawe msafara ni wafuasi wa ccm walioandaliwa na ccm kurusha mawe, ili waupotoshe umma kana kwamba ni wafuasi wa chadema wanafanya fujo. Hii issue haina tofauti na tindikali ya Igunga. Mbaya zaidi kulikuwa na miscommunication baina ya walioandaa mchezo na vijana waliomkamata kijana aliyepigwa. Mwigulu didn't inform the coalegues that he has set the so called f.cking trap!
   
 11. n

  nicksemu Senior Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama ni hivyo ccm wanajimaliza wenyewe, lakini sishangai hawana mbinu kwa sasa wameshikwa pabaya
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo ccm wakamchapa sisiem mwenzao aisee hii kali!
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa Mkuu kama ulikuwa unayajua yote hayo kwa nini usitoe ripoti polisi au kwenye chama chako.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Makongoro Mahanga amekamatwa live na masanduku ya kura leo Polisi anakuja kusema uongo mahakamani kwamba hakuwa na taarifa hizo!!.....sasa hapo kuna jeshi la Polisi la kuliamini?
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Unajua kuna watu wanasema kama vile hawaishi hapa Tanzania!
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mbinu za kitoto kabisa mtu kavalia kombati kama la CDM na beji ya CDM inaning'inia peupe eti anarusha mawe ionekane CDM wanafanya fujo. Nasikia alipopigwa nondo ya kichwa akanza kulalamika jamani mbona hatusema tupigane nondo?
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Vipi ile mbinu yenu Chadema mliyofanya kwenye mkutano wenu mmevalisha yule mama Scarf ya CCM na Kitambaa kichwani cha CCM halafu anajifanya kumshika Nassari kichwani eti anamuombea dua. Chadema bana kwa usanii.
   
Loading...