Pinda jiuzulu kwa hili la TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda jiuzulu kwa hili la TANESCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakichi, Mar 28, 2012.

 1. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nadhan umefika wakati kwa viongoz wa kitaifa kuanza kuwajibika,haiwezekan waziri mkuu ukashindwa kusimamia maneno yako..labda utuambie ww ni waziri mkuu kilemba
  waziri mkuu ww ulishindwa kumwadhibu katibu mkuu david jairo lkn ukaweza kwa katibu wa afya..
  Nakumbuka mwaka jana uloisema tanzania itasahau mgao baada ya december lkn leo tanzania inaingia tena katika mgao wa umeme kwan mitambo inaendelea kuzimwa kwa tanesco kushindwa kulipa katika mda mwafaka,ina maden zaidi ya bill 450,hata hizo bill 408 serikali inaogopa kuweka dhamana..mr pinda naomba ujiuzulu,ww ndo msimamiz wa mambo yote ya serikali..kaz yako ni nin bwana pinda?
  Mbona hamwajibishi ngelleja?
  Malima yy anajua kutembea na smg tuu,kama angekua afghanstan sindo angetembea na kifaru
  my take:
  umefika mda wa shirika hili la umma kuendeshwa kwa umma pekee bila serikali kuu
  na waziri mkuu jiuzulu
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Labda uongee kwa nguvu sana, pole pole huwa hawasikii.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama kawaida atamwaga chozi in public.....
   
 4. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tanesco tanesco tanesco hadi lini jamani..........:violin:
   
 5. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenifurahisha huyo anayetembeana smg kuwa angekuwa nchi kama afighanstani angekuwa anatembea na kifaru ahahaaaa.

  Kuhusu pinda hamna kitu so same to barazala mawaziri maana issue kama hii baraza zima linahusika
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  tanzania hatuna utamaduni wa kuwajibika hasa wanasiasa.!
   
Loading...