Dah, Halima Mdee anatisha. Hoja Nzito Nzito Arumeru. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah, Halima Mdee anatisha. Hoja Nzito Nzito Arumeru.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPadmire, Mar 28, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Magwanda wanakuwa kama kipofu aliyeona punda! sasa huyo ana hoja au ana bwabwaja?
   
 4. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Zitto nae alipikwa na Nani?
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,678
  Trophy Points: 280
  Na Wasira anafanyaje?
   
 6. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mmmh! Ina maana alipukuwa mlimani anasoma Zitto was insipiring her? Not only that, what about her life after college, will she agree with what you are saying?
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  sina mashaka kabisa na huya mdafada inabidi uwe na akina sioi 60 ndo kumpata huyu mmja
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Kupikwa ndio nini mkuu?mbona Mr.clean alipikwa na Mwalimu na bado ndo mwizi kupindukia?mbona ****** alipikwa na Simba wa vita na bado haonekani kupikika?daima kichwa ni kichwa na hakisubiri mpaka kipikwe,na Wenje alipikwa na nani ati?
   
 9. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  safi sana kamanda halima......
   
 10. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hata mimi namkubali huyu dada, halafu eti kuna vichwa panzi huko magamba wanasema wapinzani hawawezi kuunda serikali! Yani wao wana timu na reserve wote uozo hakuna output kwa miaka 50.
   
 11. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeiangalia na nimeamini hii ni sababu tosha ya kuua ile propaganda ya kuoa na kuolewa! yaani hilo swali mpaka leo sijasikia kama limejibiwa kwamba mume wa madam spika ni nani? Nashukuru kwa link.
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yap anatetea maslahi ya mumewe mtarajiwa Nassari Sumari
   
 13. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Yap, Halima Mdee yupo Juuuuuuuu
   
Loading...