Najitolea kumnunulia Joshua Nassari suti ya kula kiapo bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najitolea kumnunulia Joshua Nassari suti ya kula kiapo bungeni.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DALLAI LAMA, Mar 28, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nimeangalia hali halisi ya arumeru mashariki nikabaini ushindi mkubwa wa mgombea wa chadema Bw nassari,kwa kutambua kauli mbiu ya 'wao wana pesa,sisi tuna mungu' kama kawaida raia tunajitolea dhidi ya udhalimu nikaona ni vyema kufuatilia vipimo vya Nassari vya vazi murua aina ya suti atinge nayo kunako bungeni kwani ni dhahiri ushindi ni moshi mweupe kwa cdm hapa meru..wewe je?
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  size 38 ndio anavaa.....
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safiii,peoplezzzzzz!
   
 4. K

  Koffie JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Frustration=Expectation/Outcome

  Waombe pia wakubali kuirudisha mambo yatakapobadilika ili isile kwako mazima. Tafuta na pills za ku control pressure na frustration
   
 5. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Joshua Nassari is always well dressed. You can give your generous offer to M4C at any branch of NBC or CRDB.
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuwahi kumshonea suti; hebu kwanza tujipange kulinda hizo kura! hawa magamba hawaelewiki!
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wahenga wanakataza kununua nepi kabla mtoto hayazaliwa wanasema je akizaliwa chura utamvishaje nepi? Nadhani ni vema ukasubiri.
   
 8. K

  Koffie JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eti............:hurt: kwi kwi kwi,, teh teh teh!!!! mbavu zangu
   
 9. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jitolee pia KUMLIPIA GHARAMA ZA KUPINGA MATOKEO
   
 10. K

  Koffie JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unaa maana ataangukia pua?? bwahahahahahahaaaaaaaaaaaaa
   
 11. m

  mareche JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nami pia najitolea kununua soksi ya kuvalia suti
   
 12. K

  Koffie JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  msije mkasahau tu soksi mkaanza kuzivaa kichwani na kuwa hamnazo......kwi kwi kwi ushindi tayari
  Mwigulu Nchemba, amechukua ameweka,, waaaah!! CCM Shangilia ushindi unakuja
  Na Zitto Kabwe...oooh sorry kumbe huyu si wetu
   
 13. C

  Chibenambebe Senior Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  You r nt Oriented
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu u have to respect people I hate watu wenye choyo na wivu wa kijinga waeneza majungu na fitina!
   
 15. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hao watakuwa ni wahenga wenye asili tofauti na sisi wana wa Adam,
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Vipi Ndugu. Unacheka nini? uko sawa sawa?
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  we 2achie hii ngoma 2liopo meru kula buku 2 zako hapo kirumba
   
 18. a

  audacious Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  mimi najitolea kulinda kura ili upate sababu ya kumnunulia suti
   
Loading...