hivi wasira yupo arumeru ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi wasira yupo arumeru ?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mchambuzixx, Mar 28, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  jamani hvi wasira yupo arumeru au keshapigwa chini cjaskia kabisa matusi yake kwa mda
   
 2. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Atakuwa ameshaingia mitini kutokana na kupewa ukweli wa uozo alioropoka!
  Aibu kwa mtu mzima!
   
 3. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aisee! msikute kalala! Si unajua kilometa zimekwenda
   
 4. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waneni hunena ukivukwa nguo chutama! Baada ya kumwaga mbofumbofu hatimaye kagundua yuko mtupu sasa kachutama! Anaweza kuwapo underground!
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu amelala wapi jukwaani, guest House, garini? I'm just thinking!
   
Loading...