dionis nyorobi
Member
- Dec 26, 2011
- 28
- 9
Tukiendelea hivi hakika hakuna uvunjifu wa amani utakaotokea. Pamoja na jam kubwa iliyotokea kutokana msafara wa mafisadi pale tengeru ikiwa imepambwa na zomeazomea iliyofanya magamba kutoa mikono yao wakiwaonesha vidole vya kati wananchi wao. Ukweli polisi hawakufanya ubabe wao na badala yake waliyaacha magamba kuondoka bila ulinzi huku wakibaki kulinda wananchi defender zote mbili. Hali iliendelea hvo mapaka wananchi walipotawanyika wenyewe. Ombi letu wana Arumeru polisi waendele kuwa walinzi wa aman na wasikubali kutumika kwa namna yoyote ile kuhatarisha amani.