Ufisadi - bohari kuu ya madawa (MSD) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi - bohari kuu ya madawa (MSD)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkandara, Mar 29, 2012.

 1. M

  Mkandara Verified User

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wana JF ni wakati wa kuwaumbua mafisadi wetu, ifike mahala tutambue nani adui wa maendeleo yetu..

  Bofya:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kila kitu kina
  mwisho
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Yale yale ya Ulimboka!
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kimbunga upo? habari ya dodoma? nitakuwa huko baada ya pasaka kufuatilia mambo utawala bora kupitia APRM
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sisi wa mobile mnatuangaliaje.
   
 6. D

  Dr Gustav Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yale madaktari waliyokuwa wanasema cku zote mpaka kugoma watu mlikuwa amuamini mpaka azungumze mzungu au?
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tulikuwa tunawaamini lakini ufisadi wa Bohari ya madawa na kujiuzuru kwa mawaziri hakuhusiani..Je, walitaka viongozi wa Bohari kuu washitakiwe au wafukuzwe kazi - Hapana, tulijua kwamba bohari huagiza Pamba kutoka India badala ya kutumia Pamba yetu - Hapana, isipokuwa mgomo ulilenga kumtafuta MTU fulani aadhibiwe kwa majibu ama jeuri na sii ukosekanaji wa vifaa na madawa. Hili ndilo tulilopinga, madaktari hawakutumia Busara hata kidogo...
   
 8. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  MSD iko chini ya usimamizi wa wizara ya afya sasa kama mtendaji mkuu ni fisadi unatarajia mtoto wake kama msd angalikuwa na hali gani. kwa kuondoa uongozi mbaya wizarani unasaidia wizara kuwa na nguvu zake kusimamia ufisadi mdogo mdogo kama wa msd
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hii si ilibinafsishwa?
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna mtu alisuggest itafutiwe washindani.
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkandara,
  Mkuu pamoja na kwamba suala la madai ya maslahi binafsi ya madaktari ndio yalionekana kutajwa mara kwa mara, lakini ukweli ni kwamba walikuwa na madai ya kutaka uboreshwaji wa mazingira ya kazi, ikiwa ni pamoja na vitendea kazi na madawa. Hili la kushinikiza Nkya na Mponda wajiuzulu lilikuja baadae lakini tangu awali walipokutana na waziri mkuu walimfahamisha juu ya hayo yote.

  Pamoja na kwamba madaktari hawakuitaja msd moja kwa moja lakini kwa kutaja vitendea kazi na madawa basi hapo unaizungumzia msd.

  Pamoja na kwamba baadhi hamkupenda uamuzi wa madaktari kugoma, lakini wengine tuliwaunga mkono na tutaendelea kuwaunga mkono hadi hapo serikali itakapokuwa sikivu, maana hii ya sasa bila mgomo au maandamano mambo hayaendi!!
   
 12. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama mlikuwa hamjui;
  1. MSD huwa wanapeleka maboksi hewa ya dawa kwenye halmashauri
  2. Dr wa halimashauri/wilaya akifungua na kukuta hamna kitu inakula kwake
  3. Madiwani/wananchi wanasema ma Dr wanauza dawa
  4. Ma Dr wanakuwa frusturated
  5. Wanawaacha wananchi wajifie, wanafanya kadri wanavyoweza.
  Baada ya hili kugundulika, baadhi ya Halimashauri/wilaya sasa ufunguzi wa dawa kuna kamati maalumu inayohusisha wadau wote.
  na katabia haka sijui kama kanaendelea au vipi, ila kwa sababu mwizi ni mwizi tu inawezekana wakaunda mbinu nyingine kwa sababu;
  1. Hao wezi/mafisadi wanasomesha watoto wao international academy
  2. Wana magari yanayotumia mafuta kila siku
  3. Wanatoa michango mikubwa ya harusi
  4. Wanabiashara zinazojiendesha kwa hasara (kwa sababu hakuna accountability ya profit, akipata hela anaongezea kwenye mtaji)
  5. Kama ni wanaume wananyumba ndogo walizozipata kwa kuonesha wana hela hivyo wanahitajai kumaintain status
  6. n.k.....
  Kwa msingi wa hizo gharama hapo juu msitegemee watanzania wataacha kuwa wezi, vijana tuungane kwa sasa ili tuikomboe nchi.
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kusema aseme mzungu bwana maana tunamuita investor...wengine twapiga kelele
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hapo pekundu ndipo sisi tuliacha kuwapa support.. Wewe mtu unahitaji vitu hivi muhimu sana unakuja weka mgomo kwa sababu ya waziri ajiuzuru wakait wananchi wanaendelea kufa hata baada ya waziri mkuu kukubali kuzungumza na nyie?.. Huoni kama walitumia ujinga fulani japokuwa kweli mawaziri hao alitakiwa kujiuzuru.. Unaposema hatutaki kufanya kazi hadi waziri ajiuzuru tayari umeondoa nguvu ya hoja yako ya msingi...Na ndio maana walikataa vyama au mtu yeyote kujihusisha na mgomo wao kama ni kitu personal..

  Mkuu wangu hili ndio tatizo la vijana, wanajifanya wanajua sana lakini hamnazo kwa sababu tazama huyu mzungu wala sii kwamba anajua sana uongozi ama kujieleza lakini he stick with what is needed.. Mgomo wa kwanza tulikuwa sote pamoja na madaktari poale walipozungumzia vifaa na madawa, hata niliwahi kusema hapa JF wananchi pia tuingia barababani kuwapa support wakatokea tu wanaharakati wachache watu wote mmejichimbia. na imefikia hata wao leo wakaonekana hawafai kwamba wana support ujinga ule kumbe wao walichotaka ni serikali kushughulikia madai ya mwanzo.
   
 15. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  A very good answer to the ignorant fellow...
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  MSD ni tatizo kama ilivyo tanesko.ubaya ni kwamba matatizo yake yanasaidia mafisadi na wabadhilifu wa mali ya umma kujilimbikizia mali.
  Tupiganie kupata mshindani!
   
 17. m

  msafi Senior Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na huyo mzungu kwa yote aliyoeleza, ila sikubaliani na wachangiaji hasa jinsi wanavyoliona tatizo hili. TATIZO SI MSD, huwezi kuilaumu MSD bila kuilaumu serikali, mfano mzungu huyu anahoji, kwa nini tununue gozi nje wakati tunalima pamba? jibu ni rahisi, maana serikali haina vipaumbele, kwa nini tuendelee kununua hata dripu za maji toka nje baada ya miaka 50 ya uhuru??? msd inunue wapi gozi na vifaa tiba wakati hawalipwi kwa wakati?? imejipanga vipi kisera kuhakikisha kuwa tunainua viwanda vya ndani vya utengenezaji wa dawa na kuacha kasumba ya utegemezi wa dawa toka nje???
  Tatizo kama nchi na serikali, hakuna mipango na sera madhubuti, ila tuna sera za kuifanya kigoma kuwa dubai...........???????
  MSD wanaweza kuwa na mapungufu yao, lakini the GOVT is to blame, the whole system of the ministry of health need overhaul and re-structure.
   
 18. m

  msafi Senior Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sidhani kama kuna ukweli na kile unachokisema, maana ninvyofahamu, msd wanapopeleka mzigo, wanakupa sales invoice mbayo utatakiwa kuisaini kukubalina na kile kilicholetwa, sasa kama utasaini na maboksi ni tupu, tatizo si MSD bali ni tatizo la uzuzu la watendaji,na kama daktari ndiyo anapokea dawa hilo ni tatizo lingine, maana naamini katika afya suala la dawa ni la wafamasia, hawa ndio wanajua mfumo mzima wa usambazazaji, japo kwenye zahanati na vituo vya afya ni nadra kuwakuta wataalamu hawa.
   
 19. K

  Kichoncho Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kama nchi na serikali, hakuna mipango na sera madhubuti, ila tuna sera za kuifanya kigoma wa dubai...........???????

  Mie nakubalina na mchangiaji aliyesema tuna tatizo la kisera ambalo kwa kiwango kikubwa linaiathiri hata msd katika suala la upatikanaji wa dawa na vifaa tiba.ununuzi(procurements) zinazofanywa na msd ziko governed na requirements za public procurement act ambayo inatoa upendeleo wa pekee kwa viwanda vya ndani ambavyo unfortunately bado kwa kiwango kikubwa products zake bado zina viwango vya chini(pengine kwa sababu ya low investments n.k),kuna recent cases ambazo products ambazo msd imenunua kutoka local manufacturers e.g.zenufa,tpi,keko n.k. zimekuwa re-called kutoka kwenye hospitals hivyo process ya kupa
  ta supplier mwingine inakuwa ndefu hivyo kuchangia 'out of stock'.vifaa tiba kama 'gauze' ndo balaa make tanzania hakuna manufacturers zaidi ya suppliers wababaishaji ambao wanaweza quote bei za chini lakini delivery capacity yao ni ndogo hivyo nao kuchangia ukosefu wa vifaa tiba hata kama msd pesa inayo.
  Napendekeza serikali ifanye uwekezaji wa kutosha kwenye eneo la viwanda vya uzalishaji wa dawa na vifaa tiba na vile
  Vile kuwe na flexibility flani linapokuwa suala la ununuzi wa madawa kama ilivyo kwa sheria ya ununuzi ya uganda.
   
 20. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60

  Na bado magari yao ya kusafirisha madawa kwenda mikoani ndo usiseme nadhani ndo yanaongoza kwa kuharibika njiani! (cargo vehicles)
   
Loading...