Chadema on the line,kaa tayari,paaaaa arumeru mashariki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema on the line,kaa tayari,paaaaa arumeru mashariki!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by TEMILUGODA, Mar 31, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wanabod leo ni fainali ya kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa Arumeru mashariki,nimefananisha kampeni hizi na mchezo wa riadha kwamba vyama vyote vinavyoshiriki vipo kwenye mstari tayari kuanza riadha ya mbio fupi za mita 100,NAAMINI CDM wanazimudu sana mbio hizi,ndiyo maana kando ya running tracks kunawashangiliaji wengi wenye imani na mwakilishi wa timu ya CDM KWANI ameonyesha matumaini kipindi chote cha mazoezi kwa kukidhi viwango vya ushindi.TUNAOMBA WAAMUZI WAWE FAIR KWENYE GAME.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tumekusikia mkuu, lakini nyuzi kama hizi zimekaa kishabiki sana. Napenda uzi unahusu tukio fulani, mf unahabari toka jikoni unataka na wenzako wanusenuse unatupa n.k

  Lakini uzi huu umekaa too generala kama general term ilivyo katika arthimetic mathematics!!!!!!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,832
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Ngoja nipite huu Uzi ni general sana
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kaka shikilia hapo ulipo 'natangaza hali ya hatari kesho hapa meru' polisi nendeni ado ado hapa si igunga
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Paaaaa sijaelewa.
   
 6. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du.kila la kheri wakimbiaji wa m100
   
 7. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha tusogee TENGERU! tukachukue MADINI
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  chadema hawagawi madini labda madini ya kichwani...
   
Loading...