Tathmini Arumeru mashariki yaibeba CHADEMA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tathmini Arumeru mashariki yaibeba CHADEMA.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Concrete, Mar 31, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  CHADEMA-59% CCM-41% *VIGEZO ULINGANIFU VILIVYOTUMIKA(Comparison criteria) @UPEPO wa kisiasa(Chadema 64%,CCM36%) @Uwezo wa WAGOMBEA(Chadema 64%, CCM36%) @Mafanikio ktk KAMPENI(Chadema65%,CCM35%) @MTAJI wa wapigakura(Chadema37%, CCM63%) @Nguvu ya WAPIGA DEBE(Chadema63%, CCM37%) @Vyombo vya HABARI(Chadema52%, CCM48%) @Makundi JAMII(Chadema60%, CCM40%) @SERA mvuto(Chadema63%, CCM37%) @HAMASA za kampeni(Chadema65%, CCM35%) @MAANDALIZI ya uchaguzi(Chadema60%, CCM40%) *SOURCE: Wachambuzi na wadadisi wa mambo ya kisiasa,kwa msaada wa tathmini za vikao vya ndani kutoka vyama vyote viwili mpaka kufikia tarehe 28/3/2012.
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Good analysis, though is not a guarantee!
   
 3. M

  Mchomamoto Senior Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Basi heri mkubwa!!ngoja tuone baada ya dk 90 ushindi utakuwaje?
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Hayo mengine yote yana amuliwa na maandishi yenye rangi nyekundu, tunashukuru kutuambia kuwa CDM tayari imeshindwa kwani haina mtaji wa wapiga kura

   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  ungeweka wazi hao wachambuzi wa siasa , sample size ya huo utafiti na analyzed data
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama mgombea wa chadema atapata 59% na wa ccm akapata 41%, jumla ya hawa wawili inakuwa ni 100%

  Lakini ni ukweli kwamba Arumeru mashariki kuna wagombea wanane, je wale wagombea wengine sita wasiotajwa kwa ujumla watapata 0% ya kura? Hii tathmini haionyeshi uhalisia wowote.
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hata bila ya hizo tafiti ukweli utabaki pale pale kuwa CDM ndo mshindi wa Arumeru na Nassary ndo mbunge wa Arumeru.
  Source: tarh 1 aprl.
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mwita Maranya siwezi kuamini ama kutoamini kuwa utafiti umefanyika, ila namjibia hizo percentage 59% na 41% ulizohoji kuwa total ni 100%. Kwenye statistics huwa kuna sample error range (+ or -) wakati mwingine % zingine zinakuwa negligible, kwa mfano kama sample error ni +/- 1% na kuna chama kimepata 0.5% basi kinaweza kumezwa na percentage zingine.
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Feedback,
  Nimekupata lakini ni vizuri tukajitahidi kuwa realistic.

  Nimekuwa nikiwasiliana na watu wangu walioko arumeru wananihakikishia ushindi kwa chadema.
  Lakini tukizungumzia utafiti ni lazima tuwe makini sana. Kwa mfano anaposema chadema wana mtaji wa kura 37% na ccm 63% anarefer matokeo ya 2010 ambayo huwezi kuneglect kura za wagombea wengine wakati walikuwa na kura nyingi tu.
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  @Huu ni uchambuzi ulinganifu kwa vyama viwili tu.Vyama vingine vimepuuziwa(ignored) kwa makusudi kwa sababu kuu mbili: 1/Ushindani wao hafifu kiuchambuzi(<1%) 2/Kukosekana kwa information za kutosha zinazowahusu.
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mwita Maranya nakuelewa, hapa mimi sizungumzii ushindi nazungumzia statistics kama somo kuna vitu vingine huwa vina kuwa negligible katika kutoa report ya jumla hasa kwa vyombo vya habari, huwezi kusema chama X kilishinda kwa asilimia 61.823615% simply unasema kilishinda kwa 62%.
   
 13. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Social Science analysis. Sidhani kama itafaa kuengiza vitu ambavyo ni qualitative then unvi"quantify". Naamini katika ushindi wa CDM lakini huu uchambuzi n feki
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hujui analysis inavyofanya kazi.
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  @Soon nikipata ridhaa yao nitaweka majina ya hawa wachambuzi hapa, Kuhusu sample size nafikiri bado hujaelewa tofauti kati ya Scientific study vs Political analysis. This is political analysis.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sina imani na source yako. Yaani huu ni utafiti uliofanywa na magamba na CDM halafu ukafanana hivyo?. Labda wewe umefanya generalization.
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Feedback,
  Statistics haijawahi kunipa shida kiasi hicho. Pamoja na uzee mahesabu hapa ndio nyumbani kwake usiwe na shaka hata kidogo.
  Kwa kuangalia matokeo ya 2010 sidhani kama itakuwa ni sahihi ku neglect matokeo ya wagombea wengine. Ndio maana nikasema wagombea wengine sita hawawezi kupata 0%!
  Labda nikubaliane na mdau aliyesema kilichofanyika ni comparison kati ya wagombea wawili tu, wa chadema na wa ccm.
   
 18. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Ivi igunga CDM ilikua na mtaji kiasi gani?
   
 19. ruko dkerwa

  ruko dkerwa Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo mtaji wa wapiga KURA mbona unaipa CCM 100%
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hesabu(mathematics) na statistics ni vitu viwili tofauti.

  Kwenye bold kitendo cha kufanya comparison kwa vyama viwili tu kati ya vingi ndiyo negligence ninayoisema. Halafu nazidi kusema mimi nimejikita kwenye somo zaidi ya matokeo halisi.
   
Loading...