Uchaguzi Arumeru na kampeni za wagombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi Arumeru na kampeni za wagombea

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Humphrey Ngute, Mar 31, 2012.

 1. H

  Humphrey Ngute Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakazi wa arumeru na watanzania wote kwa ujumla ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo mimi kwa mtazamo wangu kampeni zimekuwa za kutangaza mambo ya kufikirika tu kwani mimi sielewi kwanini hivi wanavyovisema sasa wasiviseme kabla ya kutokea kwa chaguzi. AMKENI...........
   
Loading...