Mtanzania haeshimiki! wachana na kubebea issue zetu kwenye mfuko wa rambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania haeshimiki! wachana na kubebea issue zetu kwenye mfuko wa rambo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMC, Mar 31, 2012.

 1. M

  MAMC Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heshima wana JF,
  Watanzania tuna changamoto nyingi za kutatua ili tuendelee ikiwemo uvivu,"usanii"kulalamikaa bila vitendo,nk.Lakini kila nchi ina ishu zake hata kama si makubwa kama Tanzania, mfano Kenya wanaojidai eti "ni east Africa's bread basket" wanasumbuliwa na ujinga wa makabila!

  Ila mimi nakerwa sana na unafiki na ujinga tulionao pale mtu Mgeni hasa hasa wahindi, wakenya,na makaburu wa south, wanapokuja hapa na kutudharau ten a hat a bila kificho! Mbona sie tunaogopa hata kuwasema kichini chini (kwa kuogopa PI)?

  Tena inaboa zaidi unapokuta mijamaa inatudharau mbele wa mbongo mwenzetu na yeye anakenua tuu! Au ndo ku_kiss _ass_?

  tuamke jamani na tuache -Mtanzania ni first class citizen atleast hapa Tanzania tu, huku kwingine ni just other tumbili! sasa hata hapa tukinyan'ganywa tuyakuwa wageni wa Nani?
   
Loading...