Kufunga kampeni kurushwa live?

peter tumaini

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
573
94
Salaams Wanabodi.

Wote tulishuhudia ufunguzi wa kampeni wa CDM live kupitia star tv. Leo siku ya kuhitimisha kampeni je kuna mwenye taarifa kuwa utarushwa live?
Mwenye taarifa atujuze tujue kituo kipi kitarusha na saa ngapi.

OMBI MAALUM
namuomba mods aandae sub forum itakayo onesha matokeo ya uchaguzi wa Arumeru kwa kila kata 17 kwa wale wana JF walioko huko watakuwa wanatupia jinsi yatakavyo kuwa yanapatikana. Iwe rahisi kwa Wana JF kufatilia kwa urahisi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom